Nimeona!!Hutakia kuniachia kabisa?Mamii kule kwenye tiba nimeacha ujumbe.
hahahahaha sasa si lazima ujifanye na wewe matawi ili umege na ukisha kagua unachapa mwendo fasta
HIVI NUMBER YA JK NIMEPOTEZA VILEE?i hate these guys kwakweli..aha
@Elia,.jiamini kama mwanaume,dont protray kua uko deperate kihivyoo,Some women like Men who will keep them guessing..
Be true to yourself and those around you my dia,usimfanye mwanamke akupende for what you have,ndo maana wanaume wengi wanasema wanawake wanapenda hela while wao ndo wameanza mahusiano as spenders!..now days women look at th QUALITY,not QUANTITY, kwa wenye upeo,pesa inatafutwa na kuisha anytime ila co happiness.
plus mengine yaliyosemwa!ubarikiwe
kweli tracy. Mtu anajifanya anamiliki mikampuni mireal estate mazaga zaga kibao. Yaani wenyewe wanajijengea mazingira ya kuchunwa mapemaa.
Kama unampenda mtu na unataka kuishi nae muoneshe hali halisi yako. Unamficha ili iweje sasa.
Thanks sikioni kinyota cha thanks :eyeroll1:
Ahsante sana da Husninyo
Maiweeeeeeee:frog:Kwangu mimi ukicheat tu sina msamaha!!
uliowauliza walokupiga ndochi kuwa chanzo ni nini?Naomba michango yenu wandugu maana hali ni mbaya! :clock: