Zipi sababu zinazosababisha mtoto wa miezi miwili kukosa choo kwa siku moja au mbili?

Zipi sababu zinazosababisha mtoto wa miezi miwili kukosa choo kwa siku moja au mbili?

mbinguni

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
2,759
Reaction score
1,061
Kuna rafiki mmoja mtoto wake wa umri wa miezi miwili ana tatizo hilo
 
Kuna rafiki mmoja mtoto wake wa umri wa miezi miwili ana tatizo hilo

Ni kawaida wanasema anakuwa anajenga mwili,,anaweza kukaa hata siku tatu bila kupata choo na siku akipata choo huwa kinakuwa kigumu kidgo na siku akija kupata choo atalia nayo pia usishangae...!!!!!! Ila mshaur hyo mwenye mtt kma akimaliza kumnyonyesha awe anamuweka began acheue ili kuondoa gess tumbon,,, mana nayo hyo inasababisha ukosefu wa choo na wakat mwingine tumbo kuuma
 
Habari za Wakuu, mtoto wetu ana umri wa wiki mbili laki ana tatizo la kukosa choo kwa siku 2 au 3 mfululizo na akipata choo analia sana. Hospital wamesema kwamba afikishe mwezi 1 ndipo wanaweza kumpa dawa.

Naomba msaada wenu kwa anayejua ili tatizo.
 
Mkuu chukua chungwa kamua mpe vijiko viwili tu. tatizo litaisha
 
sio kwamba hapati maziwa ya kutosha labda?
 
Kama unaona woga mpigie daktari yeyote wa watoto atakuambia. Mimi nina motto ingawa sasa anamiezi 4 alikua na tatizo hilo and that is what I was told by a specialized doctor wa watoto na nilifanya tatizo likaisha. that is what I can say
 
Nimekuelewa mkuu, nashukuru kwa ushauri wako na nitaufanyia kazi.
 
Habari za jioni waungwana,nina mtoto mchanga ana kama siku 6,ana tatizo la kutopata choo yapata siku ya 3,na hiyo kusababisha kutonyonya vizuri,nini chapaswa kifanyike ili kumsaidia kupata choo?,msaada wenu wapendwa...Asanteni.
 
Inaweza kusababishwa na vitu vingi..kama hana homa na hajinyongi..sio entercolitis..na kama ni tangu siku ya kwanza inabidi uende hispitali inayoeleweka akafanyiwe assessment nzuri..kunweza kuwa magonjwa kama hichsprung disease, imperforated anus( japo hii higundulika hospitaly), au other relative constipations tu..
 
Baada ya kuzaliwa alipata choo kama siku 3,baada ya hapo ni kutoa hewa kama mashuzi huku anajinyonga...asante mkuu nimekupata...
 
Habari za Wakuu, mtoto wetu ana umri wa wiki mbili laki ana tatizo la kukosa choo kwa siku 2 au 3 mfululizo na akipata choo analia sana. Hospital wamesema kwamba afikishe mwezi 1 ndipo wanaweza kumpa dawa.

Naomba msaada wenu kwa anayejua ili tatizo.

Kukosa choo kwa watoto wachanga(constipation) ni kawaida, sababu utumbo haujazoea kupokea chakula bado.Mtoto anaweza kosa choo kwa siku 3-7. watoto wengi hupata tatizo la kukosa choo pale wanapoanza kula vyakula vigumu(solid food) wakiwa na miezi 6. Iwapo akakosa choo kwa mda mrefu zaidi mpeleke hospital watamsadia.
Jinsi ya kumsaidia mtoto aliekosa kupata haja kubwa
  • Watoto walio chini ya miezi 6 wanaweza fanyiwa massage kuanzia tumboni juu kuja chini kwa kutumia mafuta ya maji taratibu, inasaidia kusukuma kinyesi kwa urahisi na baada ya mda atapata choo.
 
Back
Top Bottom