Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna rafiki mmoja mtoto wake wa umri wa miezi miwili ana tatizo hilo
Mkuu chukua chungwa kamua mpe vijiko viwili tu. tatizo litaisha
sio kwamba hapati maziwa ya kutosha labda?
Kama unaona woga mpigie daktari yeyote wa watoto atakuambia. Mimi nina motto ingawa sasa anamiezi 4 alikua na tatizo hilo and that is what I was told by a specialized doctor wa watoto na nilifanya tatizo likaisha. that is what I can say
Baada ya kuzaliwa alipata choo kama siku 3,baada ya hapo ni kutoa hewa kama mashuzi huku anajinyonga...asante mkuu nimekupata...Inaweza kusababishwa na vitu vingi..kama hana homa na hajinyongi..sio entercolitis..na kama ni tangu siku ya kwanza inabidi uende hispitali inayoeleweka akafanyiwe assessment nzuri..kunweza kuwa magonjwa kama hichsprung disease, imperforated anus( japo hii higundulika hospitaly), au other relative constipations tu..
VIP? Ulifanikiwa??Nimekuelewa mkuu, nashukuru kwa ushauri wako na nitaufanyia kazi.
Habari za Wakuu, mtoto wetu ana umri wa wiki mbili laki ana tatizo la kukosa choo kwa siku 2 au 3 mfululizo na akipata choo analia sana. Hospital wamesema kwamba afikishe mwezi 1 ndipo wanaweza kumpa dawa.
Naomba msaada wenu kwa anayejua ili tatizo.