Zipi tamu na chungu za mimi kumiliki BMW X3

Zipi tamu na chungu za mimi kumiliki BMW X3

Soma uzi huu hapa chini kwa umakini, na upitie comments zote, utapata mafunzo makubwa sana kuhusu hilo gari, na kama utaamua kulinunua utapata namna bora ya kuishi nalo:

 
Naona jamaa dp yake ni bmw. Hataki mchezo kabisa ahahahah
Sina hamu na izo ndude. Ila still driving it ni something else. Tatizo vipato vyetu. But kama uko vema kiuchumi na kupeleka kwa fundi weekend moja million 1 kwako sio issue go for it. Haina maana kila ukienda kwa fundi ni million though.
 
Back
Top Bottom