Zipi tamu na chungu za mimi kumiliki BMW X3

Zipi tamu na chungu za mimi kumiliki BMW X3

Vp wana ndugu,

Nafikiria kununua BMW x3, ningependa mniongoze faida na changamoto za kuwa na gaira aina kama hii.

Na mengine mengi mtakayoona yanafaa kuhusu gari hili tungependa kuyasoma yote na wana JF walioko concerned.

KARIBUNI
Soma hii

Badili mtazamo wako kuhusu BMW

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vp wana ndugu,

Nafikiria kununua BMW x3, ningependa mniongoze faida na changamoto za kuwa na gaira aina kama hii.

Na mengine mengi mtakayoona yanafaa kuhusu gari hili tungependa kuyasoma yote na wana JF walioko concerned.

KARIBUNI
Gari haiwezi kuwa wasifu mbaya yote lazima kutakua na unafuu au sofa nzuri kutokana pia anae imiliki Kiwangi cha Kipato chake, Aina ya matumizi kwa kuzingatia eneo uliopo.
Kwa maelekezo mengine kamcheki huyu jamaa @samatimemagari ndio kazi zake kuchambua Gari kila Aina kwa matumizi ya Kibongo yupo Twitter(Kwa sasa inaitwa X)
 
Back
Top Bottom