deedee
JF-Expert Member
- Sep 19, 2010
- 257
- 417
Vp wana ndugu,
Nafikiria kununua BMW x3, ningependa mniongoze faida na changamoto za kuwa na gaira aina kama hii.
Na mengine mengi mtakayoona yanafaa kuhusu gari hili tungependa kuyasoma yote na wana JF walioko concerned.
KARIBUNI
Chukua X3, nadhani wengi wanao-comment sio wamiliki, chagua engine kulingana na matumizi yako.