Vp wana ndugu,
Nafikiria kununua BMW x3, ningependa mniongoze faida na changamoto za kuwa na gaira aina kama hii.
Na mengine mengi mtakayoona yanafaa kuhusu gari hili tungependa kuyasoma yote na wana JF walioko concerned.
KARIBUNI
Parts sawa, fuel consumption ipi ya ajabu kwenye X3? Labda sema x3 hiyo unamaanisha version ipi na 1l/Km?Faida: Respect
Hasara: High fuel consumption, high cost of maintenance, kila trip 3 ya nne gereji.
Kwa budget anaongelea E83 ambayo inashare platform na E90 si ndio?Parts sawa, fuel consumption ipi ya ajabu kwenye X3? Labda sema x3 hiyo unamaanisha version ipi na 1l/Km?
Ushawahi kua na BMW yoyote?Chukua X3, nadhani wengi wanao-comment sio wamiliki, chagua engine kulingana na matumizi yako.
nunua PassoVp wana ndugu,
Nafikiria kununua BMW x3, ningependa mniongoze faida na changamoto za kuwa na gaira aina kama hii.
Na mengine mengi mtakayoona yanafaa kuhusu gari hili tungependa kuyasoma yote na wana JF walioko concerned.
KARIBUNI
🙄🙄kila trip 3 ya nne gereji.
Darasa tosha kaka, ubarikiweBMW ikizidi 10 years tokea utengenezwe ni majanga. Mfano sahivi uchukue BMW ya 2014 kuja juu atleast itakua na matengenezo machache.
Hawa jamaa wametumia plastic katika sehemu sensitive sana, mfano katika cooling system.
Sasa plastic parts kutokana na joto na muda zinachakaa zinaanza kuvuja etc.
Hapo bado water pump na thermostat wake ambao life time yao ni 120,000 km. Hapo milion jiandae.
Shockups, 600k
ATF, andaa 1M hivi.
Plugs, 50k per pc
Coils, 120k per pc
Oil, 20k/L unataka 7L
Hizi zikizeeka kila kitu kinataka kuchange. Bei dogo kujaza upepo tu.
Well said, nimekuelewa.msingi wa hoja yako.Kwa budget anaongelea E83 ambayo inashare platform na E90 si ndio?
Base model kabisa ni N46 i4 ina 2.0L ila ni heavy kuliko E90 kumbuka so kidogo iko na high consumption.
Pili, hakuna mtaalamu wa BMW atakushauri uchukue 4 cylinders na N46 engine, atasema go for N52 ya 6 cylinders ambayo ni cc2500, na cc3000.
Aya niambie iwe na good fuel consumption?
Sema hatukuweka benchmark, hapo tunafananisha na vigari vidogo vidogo vikina premio 1.8 etc.
Mkuu sio kweliFaida: Respect
Hasara: High fuel consumption, high cost of maintenance, kila trip 3 ya nne gereji.
Mkuu una type na model ipi..specs zake? Unaweza nijibu inbox.shukraniUnahitaj la kuagiza au kununua apa apa bongo kwa mtu ? Kama utahitaji kwa mtu nitafte mi nikuuzie langu gari nzuri sana 0624426131
Service nzuri za BMW ni wapi mshana..Soma hii
Badili mtazamo wako kuhusu BMW
Ni aina ya gari inayoaangaliwa kwa jicho la tofauti sana... Likionekana ni gari ghali na la kifahari huku watu wakitishana sana kuhusu ughali wa vipuri na upatikanaji wake wa shida. Lakini nikwambie tu kitu kimoja hakuna gari imara kama BMW na ukiweza kufuata masharti ya kumiliki gari hutakaa...www.jamiiforums.com
Badili mtazamo wako kuhusu BMW
Sent using Jamii Forums mobile app
Serice yakounafanya sehemu gani?Nafikiria tubadili mtazamo kuhusu hiz gari za ulaya
BMW ni gari nzuri Tu unapokuwa barabarani ( unategemea uko na model gani Kwani zinazidiana)
gari ni matunzo jama ukiitunza vizuri kamwe aikusumbui, shida ya gari nyingi za ulaya zinakutaadharisha zikiwa na shida hata kama ni ndogo itawasha taa, sasa hapa ndo swala la usumbufu wa BMW unakuja (Kwa mitazamo ya watu)
hakika BMW ni gari nzuri Sana Aina usumbufu mkubwa ikiwa aijachoka vifaa vyake ni bei ya kawaida japo siwezi kuwa Sawa na Toyota
Ulaji WA mafuta ni wakawaida kulingana na ukubwa WA engine
mafundi wapo wengi Tu wala sio WA kuwatafuta hasa Miki mikuu
Nilichokiona
Mafundi wengi wasio wahaminifu ndo wanafanya watu wazichukie hizi gari hasa kwenye spea mfano pad atakwambia zinauzwa 300000 kumbe sio kweli no 150000
Kuepuka hili kama unamiliki BMW hakikisha unaenda mwenyewe kununua spea
Ushauri
Nunua BMW kama ndo gari pendwa yako wala Aina shida yoyote Mimi nitumie Nina miaka minne nafanya service za kawaida tu
Service yakounafanya sehemu gani?