Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unazungumzia CCM ya Burundi au hii iliyoasisiswa na TANU na ASP?Asubuh ya leo Napenda kuwafungua macho viongoz wa chama changu ccm kuwa chama chetu kuna uwezekano mkubwa kikawa ktk msukosuko mkubwa wakichama ambapo itakuwa ngumu kuudhibiti.
Hakuna mtu mwenye akili asie juwa ccm ni chama cha siasa ila pia ni chama chenye dola ila hili halitompa nguvu mwenyekiti nguvu kudhibiti hili wimbi lamfukuto ambao mm naweza Sema amelianzisha mwenyewe kutokana na sera zake ndani ya chama.
Mwenye kiti ktk nia njema yakuimarisha chama Uwenda hakuangalia foundation ya chama na yeye akajuwa acheze vipi karata yake sasa Uwenda wale wamefunga midomo nakuacha afanye vile anafanya watakuwa wamefanya calculation wakijuwa mbele atakutana na kaz nzito kaz ambayo yeye hatokuwa wakwanza ila marais wenzake wastaafu walikutana na hizo nyakati ila yeye hiyo hali itakuwa ngumu sana.
Nini hasa kitatokea? Wapo watu aliwategemea sana na aliwaona kama watu wakaribu ila nyuma ya pazia wamesha jua sera na mrengo wake na kuwa kama gogo mbele maana ikumbukwe ccm ina aina ya mfumo mgumu sana kwa mwenyekiti kufikiri anaweza kuwa mwenyekiti Mfalme na hii ilianza kwa Nyerere mwenyewe hivyo kamwe haiwez kuwa Rahisi kwa mwenyekiti kuwa mfalme.
Ccm ina watu na hao watu wananguvu ndani ya chama wengi hatuwajuwi au tuna wajuwa ila hao watu hao ni muhim kwa hatima ya chama.
Ccm ni mtandao ndani na nje ya chama, huu mtandao huu ni hatari sana.
Kwakuwa anatawala muhula wa mwisho basi bila shaka Uwenda kuna mambo hata panga yeye ndani ya chama na hii ni kuzuwia kujitengenezea watu wako hapa wanalenga kuweka watu wa chama sio wa Kiongoz.
Spika wa Bunge hili nalo litazuwa mfukuto maana Spika ajaye Sina uhakika kama atakuwa Mzee baba.
Kukata nakupitisha Majina ya wabunge nadhani mmeshajuwa nalo hili nimeeleza.
Haya ni maono yangu japo bado naomba Mungu atupitishe salama.
Kidumu chama Cha mapinduzi
Tujadili ccm kama ccm na je inaweza kufanya mapinduzi ya ndani yanayo enda kiume na mwenyekiti wao? Historia hiyo sijawahi shuhudiwaCCM siyo Chama Cha kutegemea kuwa kitakufa Leo, Kama mnataka kukitoa madarakani jipangeni kiushindani na kimbinu, msitegemee dodo chini ya mkaratusi, haitatokea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani huyu mzee ana mpango wa kugombea tena jamaniSawa lakini mgombea wa urais ni mzee magu full stop [emoji1630]
Mistake kubwa ambayo wengi hawaioni lakini itazaa matatizo ni kumpa sumu mzee Mangula ndani ya kikao rasmi cha juu cha chama.Tanzania kwanza vyama badae kama KANU ilisambaratika sembuse hii? Kwanza inachelewa tu, Tanzania kwanza hayo mengine hayatuhusu
Mara yamekuwa hayo tena siyo Chadema kusambaratika !Asubuh ya leo Napenda kuwafungua macho viongoz wa chama changu ccm kuwa chama chetu kuna uwezekano mkubwa kikawa ktk msukosuko mkubwa wakichama ambapo itakuwa ngumu kuudhibiti.
Hakuna mtu mwenye akili asie juwa ccm ni chama cha siasa ila pia ni chama chenye dola ila hili halitompa nguvu mwenyekiti nguvu kudhibiti hili wimbi lamfukuto ambao mm naweza Sema amelianzisha mwenyewe kutokana na sera zake ndani ya chama.
Mwenye kiti ktk nia njema yakuimarisha chama Uwenda hakuangalia foundation ya chama na yeye akajuwa acheze vipi karata yake sasa Uwenda wale wamefunga midomo nakuacha afanye vile anafanya watakuwa wamefanya calculation wakijuwa mbele atakutana na kaz nzito kaz ambayo yeye hatokuwa wakwanza ila marais wenzake wastaafu walikutana na hizo nyakati ila yeye hiyo hali itakuwa ngumu sana.
Nini hasa kitatokea? Wapo watu aliwategemea sana na aliwaona kama watu wakaribu ila nyuma ya pazia wamesha jua sera na mrengo wake na kuwa kama gogo mbele maana ikumbukwe ccm ina aina ya mfumo mgumu sana kwa mwenyekiti kufikiri anaweza kuwa mwenyekiti Mfalme na hii ilianza kwa Nyerere mwenyewe hivyo kamwe haiwez kuwa Rahisi kwa mwenyekiti kuwa mfalme.
Ccm ina watu na hao watu wananguvu ndani ya chama wengi hatuwajuwi au tuna wajuwa ila hao watu hao ni muhim kwa hatima ya chama.
Ccm ni mtandao ndani na nje ya chama, huu mtandao huu ni hatari sana.
Kwakuwa anatawala muhula wa mwisho basi bila shaka Uwenda kuna mambo hata panga yeye ndani ya chama na hii ni kuzuwia kujitengenezea watu wako hapa wanalenga kuweka watu wa chama sio wa Kiongoz.
Spika wa Bunge hili nalo litazuwa mfukuto maana Spika ajaye Sina uhakika kama atakuwa Mzee baba.
Kukata nakupitisha Majina ya wabunge nadhani mmeshajuwa nalo hili nimeeleza.
Haya ni maono yangu japo bado naomba Mungu atupitishe salama.
Kidumu chama Cha mapinduzi
Je Mangula bado yuko hai ?Mistake kubwa ambayo wengi hawaioni lakini itazaa matatizo ni kumpa sumu mzee Mangula ndani ya kikao rasmi cha juu cha chama.
Kikao kile ambacho mwenyekiti naye (ambaye ni Rais wa JMT) alikuwepo hivyo tahadhari zote za usalama zilichukuliwa.
Hivyo mpango wa kumpoteza Makamu mwenyekiti ulikuwa wa chama au wa kiongozi wa juu asiyeweza kuguswa ndio maana hata Mambosasa pamoja na matambo yake kakwama.
Lakujiuliza ni kwamba, Mangula sio mgeni ndani ya CCM na anaowafuasi kibao kuliko yeyote katika top list ya chama atanyamaza yaishe? Wanaomuunga mkono nao jee?
Nothing lasts longerUnapotaja CCM uelewe kwamba unataja Taasisi moja Imara Sana balani Africa na Duniani, Chama kile kinamfano wa Cobra, kinauwezo wa kujitoa Gamba inapobidi na kuendelea kung'aa tena
Elewa Sana na usilipuuze Hilo mkuu, sio Vyama Vyama vya kipumbavu, Vyama vinavyoweza kudhibitiwa na mtu mmoja na vikakosa mbadala,
Yabaki kuwa maoni yako tu,ccm ni imara na itazidi kuwa imara mpaka pale watakapotenganisha kofia ya umwenyekiti na urais ,lete porojo tenaAsubuh ya leo Napenda kuwafungua macho viongoz wa chama changu ccm kuwa chama chetu kuna uwezekano mkubwa kikawa ktk msukosuko mkubwa wakichama ambapo itakuwa ngumu kuudhibiti.
Hakuna mtu mwenye akili asie juwa ccm ni chama cha siasa ila pia ni chama chenye dola ila hili halitompa nguvu mwenyekiti nguvu kudhibiti hili wimbi lamfukuto ambao mm naweza Sema amelianzisha mwenyewe kutokana na sera zake ndani ya chama.
Mwenye kiti ktk nia njema yakuimarisha chama Uwenda hakuangalia foundation ya chama na yeye akajuwa acheze vipi karata yake sasa Uwenda wale wamefunga midomo nakuacha afanye vile anafanya watakuwa wamefanya calculation wakijuwa mbele atakutana na kaz nzito kaz ambayo yeye hatokuwa wakwanza ila marais wenzake wastaafu walikutana na hizo nyakati ila yeye hiyo hali itakuwa ngumu sana.
Nini hasa kitatokea? Wapo watu aliwategemea sana na aliwaona kama watu wakaribu ila nyuma ya pazia wamesha jua sera na mrengo wake na kuwa kama gogo mbele maana ikumbukwe ccm ina aina ya mfumo mgumu sana kwa mwenyekiti kufikiri anaweza kuwa mwenyekiti Mfalme na hii ilianza kwa Nyerere mwenyewe hivyo kamwe haiwez kuwa Rahisi kwa mwenyekiti kuwa mfalme.
Ccm ina watu na hao watu wananguvu ndani ya chama wengi hatuwajuwi au tuna wajuwa ila hao watu hao ni muhim kwa hatima ya chama.
Ccm ni mtandao ndani na nje ya chama, huu mtandao huu ni hatari sana.
Kwakuwa anatawala muhula wa mwisho basi bila shaka Uwenda kuna mambo hata panga yeye ndani ya chama na hii ni kuzuwia kujitengenezea watu wako hapa wanalenga kuweka watu wa chama sio wa Kiongoz.
Spika wa Bunge hili nalo litazuwa mfukuto maana Spika ajaye Sina uhakika kama atakuwa Mzee baba.
Kukata nakupitisha Majina ya wabunge nadhani mmeshajuwa nalo hili nimeeleza.
Haya ni maono yangu japo bado naomba Mungu atupitishe salama.
Kidumu chama Cha mapinduzi
Wanataka kula ?,njaa kawaletea?Nisikiavyo ni kuwa wajumbe wa Shingo wengi hawamtaki mwenye kigoda kupeperusha bendera ya chama awamu ya pili.
I am glad that you have accepted the general truth of what I have written chiefNothing lasts longer
Muulize mama yakoKwani huyu mzee ana mpango wa kugombea tena jamani
Rubbish ,mwambieni Membe jaribio lake limeshindwa ,ataangamia akiendelea na huo mchezoMistake kubwa ambayo wengi hawaioni lakini itazaa matatizo ni kumpa sumu mzee Mangula ndani ya kikao rasmi cha juu cha chama.
Kikao kile ambacho mwenyekiti naye (ambaye ni Rais wa JMT) alikuwepo hivyo tahadhari zote za usalama zilichukuliwa.
Hivyo mpango wa kumpoteza Makamu mwenyekiti ulikuwa wa chama au wa kiongozi wa juu asiyeweza kuguswa ndio maana hata Mambosasa pamoja na matambo yake kakwama.
Lakujiuliza ni kwamba, Mangula sio mgeni ndani ya CCM na anaowafuasi kibao kuliko yeyote katika top list ya chama atanyamaza yaishe? Wanaomuunga mkono nao jee?
Hiyo plan ya kishamba ya kumsingizia Membe ilishashindikana , Mangula alibaki na watu wawili tu ukumbini , hawa ndio walimpa sumu , kila mtu anawajuaRubbish ,mwambieni Membe jaribio lake limeshindwa ,ataangamia akiendelea na huo mchezo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ulikuwa mtandao upi mzee!!??Asubuh ya leo Napenda kuwafungua macho viongoz wa chama changu ccm kuwa chama chetu kuna uwezekano mkubwa kikawa ktk msukosuko mkubwa wakichama ambapo itakuwa ngumu kuudhibiti.
Hakuna mtu mwenye akili asie juwa ccm ni chama cha siasa ila pia ni chama chenye dola ila hili halitompa nguvu mwenyekiti nguvu kudhibiti hili wimbi lamfukuto ambao mm naweza Sema amelianzisha mwenyewe kutokana na sera zake ndani ya chama.
Mwenye kiti ktk nia njema yakuimarisha chama Uwenda hakuangalia foundation ya chama na yeye akajuwa acheze vipi karata yake sasa Uwenda wale wamefunga midomo nakuacha afanye vile anafanya watakuwa wamefanya calculation wakijuwa mbele atakutana na kaz nzito kaz ambayo yeye hatokuwa wakwanza ila marais wenzake wastaafu walikutana na hizo nyakati ila yeye hiyo hali itakuwa ngumu sana.
Nini hasa kitatokea? Wapo watu aliwategemea sana na aliwaona kama watu wakaribu ila nyuma ya pazia wamesha jua sera na mrengo wake na kuwa kama gogo mbele maana ikumbukwe ccm ina aina ya mfumo mgumu sana kwa mwenyekiti kufikiri anaweza kuwa mwenyekiti Mfalme na hii ilianza kwa Nyerere mwenyewe hivyo kamwe haiwez kuwa Rahisi kwa mwenyekiti kuwa mfalme.
Ccm ina watu na hao watu wananguvu ndani ya chama wengi hatuwajuwi au tuna wajuwa ila hao watu hao ni muhim kwa hatima ya chama.
Ccm ni mtandao ndani na nje ya chama, huu mtandao huu ni hatari sana.
Kwakuwa anatawala muhula wa mwisho basi bila shaka Uwenda kuna mambo hata panga yeye ndani ya chama na hii ni kuzuwia kujitengenezea watu wako hapa wanalenga kuweka watu wa chama sio wa Kiongoz.
Spika wa Bunge hili nalo litazuwa mfukuto maana Spika ajaye Sina uhakika kama atakuwa Mzee baba.
Kukata nakupitisha Majina ya wabunge nadhani mmeshajuwa nalo hili nimeeleza.
Haya ni maono yangu japo bado naomba Mungu atupitishe salama.
Kidumu chama Cha mapinduzi
Ccm inapumulia machine siku yakiharibika hao waliotoka upinzani watakuwa wa kwanza kuisulubu na mwisho wa ccm ni mbaya mno kuliko kuanzishwa kwakeMistake kubwa ambayo wengi hawaioni lakini itazaa matatizo ni kumpa sumu mzee Mangula ndani ya kikao rasmi cha juu cha chama.