Uchaguzi 2020 Zipo dalili za CCM kupita ktk msukosuko mkali sana

akuna wimbi kali kama la lowasa.kipindi ambacho magufuli hakuwa rais wala mwenyekiti wa ccm.
sembuse sasa ?
 
Mi sina mengi ya kuandika, siyo rahisi kama unavofikiria, CCM wote ni nyoka na mwenyekiti wao ni joka lenye vichwa saba, kumuangusha mwenyekiti siyo rahisi saana na haitowahi kutokea kwa hii miaka 50 ijayo!!
Kwa mantik hiyo ni kwamba hatuko salama chini ya ccm kama taifa,kama ikija tokea mwenyekiti akawa na msimamo hasi dhidi ya misingi ya taifa,ccm haiwezi kumuwajibisha wala kupinga misimamo yake,hii ni hatari kwa taifa.
Ushauri kwa vile sasa hivi tunaongozwa kwa kumfuata mafundisho ya wanasisi ambapo mengine yameandikwa katika katiba na mengine ni desturi tu na miaka inasonga vizazi vinabadilika wanakuja watawala ambao hata wasisi hawawajui watawasoma kama akina mkwawa ni vizuri kupunguza madaraka ya mwenyekiti kuunda tasisi imara ambayo nitafanya kazi na kupitisha maamuzi hii ni pamoja na kutenganisha kofia
Ya uenyekiti na uraisi.
 
Hilo takwa lao halitakaa lifanikiwe hata kama ni "rumors" za ukwel.
Chair atapeperusha bendera salama na atamaliza second term by hooks and crocks!!
Nguvu ya mtu itakiyumbisha. Nuvu ya chama itakiimarisha. Wameshaanza kulitambua hilo. Chama lazima kipiganie nguvu yake kupitia nguvu ya mtu na si nguvu ya mtu kupitia chama

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Asubuh ya leo Napenda kuwafungua macho viongoz wa chama changu ccm kuwa chama chetu kuna uwezekano mkubwa kikawa ktk msukosuko mkubwa wakichama ambapo itakuwa ngumu kuudhibiti.

Hakuna mtu mwenye akili asie juwa ccm ni chama cha siasa ila pia ni chama chenye dola ila hili halitompa nguvu mwenyekiti nguvu kudhibiti hili wimbi lamfukuto ambao mm naweza Sema amelianzisha mwenyewe kutokana na sera zake ndani ya chama.

Mwenye kiti ktk nia njema yakuimarisha chama Uwenda hakuangalia foundation ya chama na yeye akajuwa acheze vipi karata yake sasa Uwenda wale wamefunga midomo nakuacha afanye vile anafanya watakuwa wamefanya calculation wakijuwa mbele atakutana na kaz nzito kaz ambayo yeye hatokuwa wakwanza ila marais wenzake wastaafu walikutana na hizo nyakati ila yeye hiyo hali itakuwa ngumu sana.

Nini hasa kitatokea? Wapo watu aliwategemea sana na aliwaona kama watu wakaribu ila nyuma ya pazia wamesha jua sera na mrengo wake na kuwa kama gogo mbele maana ikumbukwe ccm ina aina ya mfumo mgumu sana kwa mwenyekiti kufikiri anaweza kuwa mwenyekiti Mfalme na hii ilianza kwa Nyerere mwenyewe hivyo kamwe haiwez kuwa Rahisi kwa mwenyekiti kuwa mfalme.

Ccm ina watu na hao watu wananguvu ndani ya chama wengi hatuwajuwi au tuna wajuwa ila hao watu hao ni muhim kwa hatima ya chama.

Ccm ni mtandao ndani na nje ya chama, huu mtandao huu ni hatari sana.

Kwakuwa anatawala muhula wa mwisho basi bila shaka Uwenda kuna mambo hata panga yeye ndani ya chama na hii ni kuzuwia kujitengenezea watu wako hapa wanalenga kuweka watu wa chama sio wa Kiongoz.

Spika wa Bunge hili nalo litazuwa mfukuto maana Spika ajaye Sina uhakika kama atakuwa Mzee baba.

Kukata nakupitisha Majina ya wabunge nadhani mmeshajuwa nalo hili nimeeleza.

Haya ni maono yangu japo bado naomba Mungu atupitishe salama.
Kidumu chama Cha mapinduzi
Si kweli CCM Itaenda vzr tu wala hakuna shida yoyote ninakuhakikishia hilo ingekuwa kwa nchi nyingine sawa lkn sio nchi hii.
 
si mmesha msaidia kwa kuua watu na kuwapoteza kama azory,ben saanane nk!!au haitoshi????MI naona Ndugu yangu TumainEl bora hii corona iende na wewe na jiwe muwafuate nyenzi na nyaulingo!!
 
Ccm imekuwa chama cha marisasi kwa muda wa miaka mitano mfululizo. Mwaka huu kikicheza na nyani mmoja mkatili, kitavuna mabua.
 
It is coming to an end!! Very soon it will be like other political parties that prevailed in those days!
 
Sahihi kabisa mkuu...

Niliweka uzi humu..kuwa hakuna Mwenyetiki/kiongozi mwenye nguvu kuishinda CCM,ni Mwl. Nyerere tu ndiye aliyejaribu uwezo huo.

CCM ni zaidi tuinavyo huku nje,muda wowote wanaweza fanya jambo likaishangaza dunia. Hata Mwenyekiti wa sasa hayupo salama kuishinda CCM.

Moderators kwa fitina zao wakaufuta.
Mlishachelewa mlishakabidhi chama kwenye familia wanachama hawana lao mmiliki wa chama ndie mwenye maamuzi Nani atagombea Nani asigombee.Vipaumbele ni waimbaji kwaya kwanza.Wasugua benchi wao wasubirie wakati mwingine.
 
Asubuh ya leo Napenda kuwafungua macho viongoz wa chama changu ccm kuwa chama chetu kuna uwezekano mkubwa kikawa ktk msukosuko mkubwa wakichama ambapo itakuwa ngumu kuudhibiti.

Hakuna mtu mwenye akili asie juwa ccm ni chama cha siasa ila pia ni chama chenye dola ila hili halitompa nguvu mwenyekiti nguvu kudhibiti hili wimbi lamfukuto ambao mm naweza Sema amelianzisha mwenyewe kutokana na sera zake ndani ya chama.

Mwenye kiti ktk nia njema yakuimarisha chama Uwenda hakuangalia foundation ya chama na yeye akajuwa acheze vipi karata yake sasa Uwenda wale wamefunga midomo nakuacha afanye vile anafanya watakuwa wamefanya calculation wakijuwa mbele atakutana na kaz nzito kaz ambayo yeye hatokuwa wakwanza ila marais wenzake wastaafu walikutana na hizo nyakati ila yeye hiyo hali itakuwa ngumu sana.

Nini hasa kitatokea? Wapo watu aliwategemea sana na aliwaona kama watu wakaribu ila nyuma ya pazia wamesha jua sera na mrengo wake na kuwa kama gogo mbele maana ikumbukwe ccm ina aina ya mfumo mgumu sana kwa mwenyekiti kufikiri anaweza kuwa mwenyekiti Mfalme na hii ilianza kwa Nyerere mwenyewe hivyo kamwe haiwez kuwa Rahisi kwa mwenyekiti kuwa mfalme.

Ccm ina watu na hao watu wananguvu ndani ya chama wengi hatuwajuwi au tuna wajuwa ila hao watu hao ni muhim kwa hatima ya chama.

Ccm ni mtandao ndani na nje ya chama, huu mtandao huu ni hatari sana.

Kwakuwa anatawala muhula wa mwisho basi bila shaka Uwenda kuna mambo hata panga yeye ndani ya chama na hii ni kuzuwia kujitengenezea watu wako hapa wanalenga kuweka watu wa chama sio wa Kiongoz.

Spika wa Bunge hili nalo litazuwa mfukuto maana Spika ajaye Sina uhakika kama atakuwa Mzee baba.

Kukata nakupitisha Majina ya wabunge nadhani mmeshajuwa nalo hili nimeeleza.

Haya ni maono yangu japo bado naomba Mungu atupitishe salama.
Kidumu chama Cha mapinduzi
Ccm ya Sasa ni Mali binafsi ya mtakatifu jiwe Hakuna mwenye uwezo wa kuwa juu kuliko yeye, tumeshuudia chaguzi za marudio.Labda tu Kama ingetenganishwa kofia mbili
 
Sina hakika na usemayo mkuu, c.man amefanikiwa kujenga hofu ya kutosha .
Muhimu ccm ipunguze unyonge kutetea katiba yao na ya nchi isibadilishwe kuondoa ukomo.
Hawawezi muulize mangulas' walishauza chama Hakuna mwenye hatimiliki zaidi ya mmiliki
 
Hilo takwa lao halitakaa lifanikiwe hata kama ni "rumors" za ukwel.
Chair atapeperusha bendera salama na atamaliza second term by hooks and crocks!!
Haya maneno ni machungu Sana kwa waliondani mwaka wa tano Sasa wakisubiria ushahidi kukamilika means wakae ndani again another 5 yrs wakisubiria ushahidi kukamilika.
 
Asubuh ya leo Napenda kuwafungua macho viongoz wa chama changu ccm kuwa chama chetu kuna uwezekano mkubwa kikawa ktk msukosuko mkubwa wakichama ambapo itakuwa ngumu kuudhibiti.

Hakuna mtu mwenye akili asie juwa ccm ni chama cha siasa ila pia ni chama chenye dola ila hili halitompa nguvu mwenyekiti nguvu kudhibiti hili wimbi lamfukuto ambao mm naweza Sema amelianzisha mwenyewe kutokana na sera zake ndani ya chama.

Mwenye kiti ktk nia njema yakuimarisha chama Uwenda hakuangalia foundation ya chama na yeye akajuwa acheze vipi karata yake sasa Uwenda wale wamefunga midomo nakuacha afanye vile anafanya watakuwa wamefanya calculation wakijuwa mbele atakutana na kaz nzito kaz ambayo yeye hatokuwa wakwanza ila marais wenzake wastaafu walikutana na hizo nyakati ila yeye hiyo hali itakuwa ngumu sana.

Nini hasa kitatokea? Wapo watu aliwategemea sana na aliwaona kama watu wakaribu ila nyuma ya pazia wamesha jua sera na mrengo wake na kuwa kama gogo mbele maana ikumbukwe ccm ina aina ya mfumo mgumu sana kwa mwenyekiti kufikiri anaweza kuwa mwenyekiti Mfalme na hii ilianza kwa Nyerere mwenyewe hivyo kamwe haiwez kuwa Rahisi kwa mwenyekiti kuwa mfalme.

Ccm ina watu na hao watu wananguvu ndani ya chama wengi hatuwajuwi au tuna wajuwa ila hao watu hao ni muhim kwa hatima ya chama.

Ccm ni mtandao ndani na nje ya chama, huu mtandao huu ni hatari sana.

Kwakuwa anatawala muhula wa mwisho basi bila shaka Uwenda kuna mambo hata panga yeye ndani ya chama na hii ni kuzuwia kujitengenezea watu wako hapa wanalenga kuweka watu wa chama sio wa Kiongoz.

Spika wa Bunge hili nalo litazuwa mfukuto maana Spika ajaye Sina uhakika kama atakuwa Mzee baba.

Kukata nakupitisha Majina ya wabunge nadhani mmeshajuwa nalo hili nimeeleza.

Haya ni maono yangu japo bado naomba Mungu atupitishe salama.
Kidumu chama Cha mapinduzi
Ati TumainiEl ni mwanachama wa CCM, du! Hongera kwa kuwasemea.

Kwa kukumbusha tu kama kuna misusuko haitatokea kama ya 2015 iliyopelekea chama kugawanyika. Kwenye kikao cha Halmashauri Kuu, wajumbe walionesha kabisa upenzi kwa kiongozi mmoja ambaye baadaye aliteuliwa na upinzani kugombea nafasi ya juu ya uongozi wa nchi hii na bado CCM iliibuka kidedea hadi nafasi za udiwani.

Kama ulivyowashauri CCM, mwanachama mamluki, nikushauri uangalie upande wa pili iwapo kuko salama. Kwa vile TAKUKURU imeanza kuchunguza tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za chama, ndani huko kunafuka moshi.
 
Haya maneno ni machungu Sana kwa waliondani mwaka wa tano Sasa wakisubiria ushahidi kukamilika means wakae ndani again another 5 yrs wakisubiria ushahidi kukamilika.
Inawezekana mkuu.Lakin hilo nalosema mbona liko wazi bila kujali ww ni cc au cdm, unapaswa kulifahamu tu.Haijawah tokea rais wa chama tawala kuhudumu muhula mmoja toka siasa za vyama vingi kuanzishwa tanzania.
Tuweke ushabik pembeni
 
Nisikiavyo ni kuwa wajumbe wa Shingo wengi hawamtaki mwenye kigoda kupeperusha bendera ya chama awamu ya pili.
Ni kwamba ukisha kuwa rais, wewe ndo kila kitu. Wanao mpinga wajiandae kushughulikiwa na wasio julikana.
 
Back
Top Bottom