Uchaguzi 2020 Zipo dalili za CCM kupita ktk msukosuko mkali sana

Mkuu unazungumzia CCM ya Burundi au hii iliyoasisiswa na TANU na ASP?
 
CCM siyo Chama Cha kutegemea kuwa kitakufa Leo, Kama mnataka kukitoa madarakani jipangeni kiushindani na kimbinu, msitegemee dodo chini ya mkaratusi, haitatokea.



Sent using Jamii Forums mobile app
Tujadili ccm kama ccm na je inaweza kufanya mapinduzi ya ndani yanayo enda kiume na mwenyekiti wao? Historia hiyo sijawahi shuhudiwa
Kwangu uta kuwa muujiza na hapo ndiyo utaamini kuwa tupo salama kama taifa
 
Mi sina mengi ya kuandika, siyo rahisi kama unavofikiria, CCM wote ni nyoka na mwenyekiti wao ni joka lenye vichwa saba, kumuangusha mwenyekiti siyo rahisi saana na haitowahi kutokea kwa hii miaka 50 ijayo!!
 
Tanzania kwanza vyama badae kama KANU ilisambaratika sembuse hii? Kwanza inachelewa tu, Tanzania kwanza hayo mengine hayatuhusu
Mistake kubwa ambayo wengi hawaioni lakini itazaa matatizo ni kumpa sumu mzee Mangula ndani ya kikao rasmi cha juu cha chama.
Kikao kile ambacho mwenyekiti naye (ambaye ni Rais wa JMT) alikuwepo hivyo tahadhari zote za usalama zilichukuliwa.
Hivyo mpango wa kumpoteza Makamu mwenyekiti ulikuwa wa chama au wa kiongozi wa juu asiyeweza kuguswa ndio maana hata Mambosasa pamoja na matambo yake kakwama.
Lakujiuliza ni kwamba, Mangula sio mgeni ndani ya CCM na anaowafuasi kibao kuliko yeyote katika top list ya chama atanyamaza yaishe? Wanaomuunga mkono nao jee?
 
Mara yamekuwa hayo tena siyo Chadema kusambaratika !
 
Je Mangula bado yuko hai ?
 
Nothing lasts longer
 
Yabaki kuwa maoni yako tu,ccm ni imara na itazidi kuwa imara mpaka pale watakapotenganisha kofia ya umwenyekiti na urais ,lete porojo tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rubbish ,mwambieni Membe jaribio lake limeshindwa ,ataangamia akiendelea na huo mchezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM ya Mweyekiti Nyerere, siyo ya Mzee Ruksa,wala ya Mkapa,Kikwete na sasa Magufuli.
Mwenyekiti akiwa na kofia mbili ni ngumu sana kumdhibiti kwani yeye ndio kila kitu.Mfano mzuri ni pale Kikwete alipochomoa mfukoni kipande cha karatasi chenye majina matano tu mbele ya Central Committe badala ya majina therathini ya awali ili yajadiliwe.
Mwenyekiti ni supreme huwezi kumpelekesha.
 
Wewe ulikuwa mtandao upi mzee!!??
 
Ccm inapumulia machine siku yakiharibika hao waliotoka upinzani watakuwa wa kwanza kuisulubu na mwisho wa ccm ni mbaya mno kuliko kuanzishwa kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…