Uchaguzi 2020 Zipo dalili za CCM kupita ktk msukosuko mkali sana

Inawezekana mkuu.Lakin hilo nalosema mbona liko wazi bila kujali ww ni cc au cdm, unapaswa kulifahamu tu.Haijawah tokea rais wa chama tawala kuhudumu muhula mmoja toka siasa za vyama vingi kuanzishwa tanzania.
Tuweke ushabik pembeni
So wajiandae kukaa ndani 5 yrs again kusubiria ushahidi,then tunakwenda church kufanya nn?
 
si mmesha msaidia kwa kuua watu na kuwapoteza kama azory,ben saanane nk!!au haitoshi????MI naona Ndugu yangu TumainEl bora hii corona iende na wewe na jiwe muwafuate nyenzi na nyaulingo!!
Wawafuate Nyenzi na Nyaulingo wapi?. Ache upumbuazi wewe!!
 
Mbona tayari "wanaogelea katika misukosuko" mwenye macho haambiwi tazama...Hakuna kitu kibaya kama kununua utu...sasa hao wabunge nunuliwa watawezana na makada kweli?
 
Nisikiavyo ni kuwa wajumbe wa Shingo wengi hawamtaki mwenye kigoda kupeperusha bendera ya chama awamu ya pili.
Hizo sio tetesi, lakini jiulize watakula wapi?
Wengi wao kama sio wote ni watu wa 'maslahi', CCM ikivurugika watakula wapi?
 
Wewe jamaa ulifurahia kupotea ben saanane alipotoa tahadhari ya kuuwawa kwake nakufananisha na shetwaaani @tumainEl
 
Wewe jamaa ulifurahia kupotea ben saanane alipotoa tahadhari ya kuuwawa kwake nakufananisha na shetwaaani @tumainEl
Fake ID zimeficha uhalisia mwingi sana

Jr[emoji769]
 

Siye wananchama tutaliona litakavyokwisha hili sekeseke la uchaguzi 2020.
Ila ndani a chama kuna moshi unafuka!
Sera za mshikamano zirudishwe.
 
Mkuu weka akiba ya maneno, tunaikubali CCM kwa sera zake na si jinsi ilivyojikita serikalini.
Nguzo kubwa ya CCM lazima iwe wanachama wake na si vinginevyo.
La sivyo ulizia KANU ya Kenya, UNIP ya Zambia, Uganda Peoples Congress-Uganda, Malawi Congress Pary ya Kamuzu Banda - Malawi.
Mifano ni mingi sana.
Chama kisipokuwa cha wananchi na wanachama ni rahisi kukipotezea kama mtu anapoteua na kumstaafisha Katibu Mkuu wa serikali.
 
Nikiona hii ID ya Tuma namkumbuka Ben..!![emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji40][emoji40][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]

Jr[emoji769]
Mshana mimi ni Raia mwema sina dam ya mwanadam awaye yoyote ila niamini naninajuwa wewe ni mzuri post issue za mambo yasio onekana. Mm naona yasio onekama huwo ndio ukweli. Soma mada yangu nina nguvu za ajabu.
 
Who is behind Membe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…