Mtafiti77
JF-Expert Member
- Oct 31, 2011
- 1,877
- 2,314
Ndugu wajuvi,
Ni wapi ninaweza kupata boxers zenye ubora hapa Dar? Nyingi zimekaa kiajabu, zinapauka mapema.
Sasa, nimeona nijaribu hizi za Woolworth(tazama kiambatisho). Je, kuna mzoefu na hizi boxers za hawa jamaa? Nimeona nianze na piece tatu tu kujaribu. Nikinogewa niongeze. Ninaomba aliyezitumia tupeane uzoefu.
Pia, anaejua duka kwa hapa Dar anielekeze tafadhali.