Zipo wapi nguo za ndani (boxers)za ukweli hapa Dar?

Zipo wapi nguo za ndani (boxers)za ukweli hapa Dar?

Mzeya unanunua zile boxer za woolworth piece tatu za buku 75😲😲😲 upo vizuri mzeya.

Ebu vaa utuoe mrejeaho zikoje maana hizi zingine nao a kama zinabana mbupuz sometime
Hao jamaa kuna muda wanauza vitu kuuzia sifa tumfano suruali za cardet za brand ya zara kuna muda wanauza hadi laki na nusu suruali moja , ilhali sisi hu tunavizia sell ulaya punguzo ni 38mpaka 45k tunachukua vitu org ,sometimes kujiongeza kunalipa ,pale ninaiman boksa brand ya barsel piece 1 wanakuuzia ata 40k
 
Kuna duka unaweza kunielekeza? Hofu yangu ni kuuziwa bidhaa ya hovyo. Baadhi unaweza kuta jina kubwa lakini mchina kabandika lebel tu, bidhaa siyo halisi.
Sasa kaka si unascan ata bar code ila barsel zipo maeneo mengi tu na ni org ngoja nikupatie namba ya muuzaj mmoja .
 
Si mnazo za aina tofauti.. Weyw wapenda ipi/zipi?

Kuna za kubana, za kuchanua, za fit ndoto ila hazibani.. Za kifungo, za kuvutia ulitoe inapobidi

N.k.
 
Ndugu wajuvi,

Ni wapi ninaweza kupata boxers zenye ubora hapa Dar? Nyingi zimekaa kiajabu, zinapauka mapema.

Sasa, nimeona nijaribu hizi za Woolworth(tazama kiambatisho). Je, kuna mzoefu na hizi boxers za hawa jamaa? Nimeona nianze na piece tatu tu kujaribu. Nikinogewa niongeze. Ninaomba aliyezitumia tupeane uzoefu.

Pia, anaejua duka kwa hapa Dar anielekeze tafadhali.
sasa s bora ushoneshe kwa fundi cherehan kama mm hapa.....zinadumu miakaa
 
Back
Top Bottom