Zitambue bidhaa za ujenzi zinazookoa gharama za ujenzi

Zitambue bidhaa za ujenzi zinazookoa gharama za ujenzi

Ubora wa hali ya juu unajionesha wazi mara tu tunapoanza kujenga msingi kwa vifaa vyetu spesho, kama tunavyojionea kwenye hizo picha. (A picture can tell thousand words).

Ujenzi wetu wote huanza na hizo nguzo za kwenye msingi (pilot colums) katika kila pembe ya ya msingi.

Ujenzi wa nguzo uliozoeleka hapa Tanzania, hapo angetafutwa kwanza fundi mbao, kungekua na gharama za ununuzi wa mbao, gharama za ringi, gharama za kumwaga zege (kama ilivyozoeleka zege halilali) na ingetulazimu kunyanyua nguzo mpaka juu. Lakini kama muonavyo ujenzi wetu huo, nguzo safi kabisa na zina vigezo vyote vya ubora zinaanza hata kwa nusu meter na zinaendelea kupanda ikihitajika kupanda bila tatizo na uimara unabaki pale pale au kuongezeka.

Abraar Education Centre tumeleta mageuzi ya ujenzi Tanzania. Kila mmoja wetu ana haki ya kujenga nyumba yenye ubora wa hali ya juu kwa gharama nafuu.
Indeed Abdul, asiye na macho haambiwi tazama.
 
Back
Top Bottom