kawombe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 14,239
- 15,876
Mm nataka kwajili y fensi je ni aina ipi itanifaa? Na bei ganiTena mimi mwenyewe ndie Mwalimu wa ma "sangoma", masharti yanazidi kwangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm nataka kwajili y fensi je ni aina ipi itanifaa? Na bei ganiTena mimi mwenyewe ndie Mwalimu wa ma "sangoma", masharti yanazidi kwangu.
Blocks zetu zote zinafaa kwa fenze au ukuta wa nyumba, inabidi utujibu maswali machache ili tukupe ushauri wenye manufaa:Mm nataka kwajili y fensi je ni aina ipi itanifaa? Na bei gani
kawombe Tumezitumia Blocks hizi kubuni ngazi na ujenzi wa ngazi zenye bora wa hali ya juu, Ulaya walipoiona picha ya ngazi zetu wakatupa tuzo, pitia hapa uione; Darasa la ujenzi la Madrassatul Abraar latunukiwa Tuzo ya ubunifu wa ujenzi kutoka Shirika la UingerezaBlocks zetu zote zinafaa kwa fenze au ukuta wa nyumba, inabidi utujibu maswali machache ili tukupe ushauri wenye manufaa:
Fence yako ina face barabara pande zote?
Fence yako itakua na nyumba au vyumba Vya kuishi watu au mifugo?
Fence yako Kutakua na chumba cha ulinzi (guard house au hakuna) chenye watch tour?
Kuna tofari za very high tech, tunazo Abraar pekee kwa sasa...
View attachment 2311335View attachment 2311336View attachment 2311337View attachment 2311338View attachment 2311339View attachment 2311340View attachment 2311341
Hizo full block @2,000
Half block @1,000
Gable block @ 1,000
Corner block # 3,000
.
View attachment 2311342
Hazihitaji plaster wala mortar kuzijengea, ni autolocking system.
Tunaziunda unapotupa order tu.
Barabara iko upande mmojaBlocks zetu zote zinafaa kwa fenze au ukuta wa nyumba, inabidi utujibu maswali machache ili tukupe ushauri wenye manufaa:
Fence yako ina face barabara pande zote?
Fence yako itakua na nyumba au vyumba Vya kuishi watu au mifugo?
Fence yako Kutakua na chumba cha ulinzi (guard house au hakuna) chenye watch tour?
Kuna tofari za very high tech, tunazo Abraar pekee kwa sasa...
View attachment 2311335View attachment 2311336View attachment 2311337View attachment 2311338View attachment 2311339View attachment 2311340View attachment 2311341
Hizo full block @2,000
Half block @1,000
Gable block @ 1,000
Corner block # 3,000
.
View attachment 2311342
Hazihitaji plaster wala mortar kuzijengea, ni autolocking system.
Tunaziunda unapotupa order tu.
Yote yanafaa kwa fence.Barabara iko upande mmoja
Ndio ndani kuna nyumba ya kuishi.
Hakuna nyumba ya mlinzi.
Je yepi yatanifaa kwa fence
Asante
Hoja kama hizi zinamharibia mwenye chuo badala ya kumjenga.Safi sana Abdul. Umempa na offer ya kumsomesha ujenzi. Nakufahamu kwanini umempa hiyo offer, umemuona ana maswali ya kijinga, au siyo?
Hapa ndo Lenta auHapa zinapofanya kazi kama foundation blocks...
View attachment 2299309View attachment 2299311View attachment 2299310
Hapo ni msingi wa kuta huo.Hapa ndo Lenta au
Ubora wa hali ya juu unajionesha wazi mara tu tunapoanza kujenga msingi kwa vifaa vyetu spesho, kama tunavyojionea kwenye hizo picha. (A picture can tell thousand words).Hapo ni msingi wa kuta huo.
Ujenzi wetu huanza kwa namna ya kipekee, huwa tunaanz akwa nguzo zinazotumia blocks spesho za kujengea nguzo, hizi nguzo kwa hatua ya mwanzo huishia kwenye kimo cha sakafu, kama ujioneavyo hapa chini...
View attachment 2313176View attachment 2313177View attachment 2313178View attachment 2313179
Kwanini ukasema hivyo? Naona kauliza swali valid kabisa.Hoja kama hizi zinamharibia mwenye chuo badala ya kumjenga.
Btw, mama umri unakusumbua inabidi watu tukuvumilie tu hakuna namna..
Ukwanza, nikuipereka bidha sokoni, na kuulemisha juu ya matumizi yake.Shule nilosoma ila hollow bricks ilijengwa na wamissionary so nadhani nyie si wa kwanza
Hii niliikuta Njombe sehemu moja inaitwa Lwanzali, Kila nikitafuta namna yakuipataWabongo mnashida sana....wamisionary waliacha hydro ram pump ambayo haitumii umeme kupandisha maji lakini hamtaki kuzitumia. Mnabaki kukejeli tu! Mnaniudhi.
Mnspatikana wapi mkuu , zimefanyiwa quality check ama unazimwaga sokoni from the blueUkwanza, nikuipereka bidha sokoni, na kuulemisha juu ya matumizi yake.
Hivyo ni wakwanza kuifanya ijulikane kwa watu nakuifikisha kwa kwa waitaji, tofauti na hiyo Shule, ilikua kwa matumizi Yao TU.
Bado hujajibu, je hizi tofali kwenye kutindua ili upitushe bomba za maji na usuke wiring unafanyaje si kazi itakuwa ngumu sana?Kwanini ukasema hivyo? Naona kauliza swali valid kabisa.
You are right. Wanaotumia tofari hizo hawatumii maji wala hawatumii umeme.Bado hujajibu, je hizi tofali kwenye kutindua ili upitushe bomba za maji na usuke wiring unafanyaje si kazi itakuwa ngumu sana?
Kwa bomba za umeme si inashushwa moja kwa moja kwenye outlet kupitia hizo hollow gaps ila kwa maji labda plaster iwe pana kidogo kwaajili ya kuyafunikaYou are right. Wanaotumia tofari hizo hawatumii maji wala hawatumii umeme.
Ndugu unaahirisha sherehe kwa sababu pilau imekosa kachumbari ?Cost bado zinakuwa juu
Ina maana unatakiwa kuajiri mafundi wawili fundi maiko wa ujenzi na huyo mwenye Generator na grinder na Angle cutter .Kazi ambayo angefanya fundi mmoja mwenye nyundo inafanywa na watu kibao.Wenye mashine na majenereta Majenerata bei za mafuta ziko juu mno bado uwalipie usafiri wakati fundi nyundo mngemalizana tu kwa bei ile ile ya kazi tu ya kuweka nyaya au bomba hakuna extra cost za utinduaji
Kuna picha tumeweka juu huko zinavyowekwa. Ni wepesi sana kuliko tunavyofikiria.Kwa bomba za umeme si inashushwa moja kwa moja kwenye outlet kupitia hizo hollow gaps ila kwa maji labda plaster iwe pana kidogo kwaajili ya kuyafunika
Zinamharibia nini, blocks zake? Ujinga huo.Hoja kama hizi zinamharibia mwenye chuo badala ya kumjenga.
Btw, mama umri unakusumbua inabidi watu tukuvumilie tu hakuna namna..