Zitambue hasara za kuzama chumvini kwa mwanamke

Zitambue hasara za kuzama chumvini kwa mwanamke

Ethan Cruz

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2021
Posts
231
Reaction score
331
[UNSET] (1).jpg
Tafiti zimeonyesha kuwa,mdomo wa binadamu ki bacteriologia (bacteriologically) ni mchafu maradufu kuliko sehemu ya uke(vagina).

Ni vema kufahamu kuwa,katika hali ya afya,binadamu wote tunaishi navimelea(microorganisms) katika sehemu nmbalimbali za miili yetu, wakiwa na lengo la kutulinda, kitaalamu wanaita normal flora hawa wanakuwa hawana madhara katika mwili. Hivyo ni kweli kuwa vagina kama ilivyo mdomo una normal flora.

Sasa baada ya vitendo huweza kuondoa normal flora na kukaribisha magonjwa, mfano kinamama kujiosha ukeni na maji ya ndimu, limao,Shabu etc huweza kuondoa Normal flora na kukaribisha magonjwa,kama ambavyo matumizi ya sabuni zenye kemikali zinavoweza kuua normal flora kwenye ngozi na kusababisha magonjwa ya ngozi.Hivyo kwa mwanamke mwenye afya,uke ni mahali salama kufanya upendalo(kama vile kwenda chumvini).

Hata hivyo, nionye kuwa hatari ya kuambukizwa magonjwa ya zinaa kinywani kama vile Gonnorhea, Syphilis, candidiasis (fungus), HIV n.k ipo pale pale kama ambavyo mtu anaweza kuambukizwa kwa njia ya kawaida ya kujamiiana.

Mwisho, kama wewe ni mgonjwa wa kwenda chumvini, hakikisha unafanya mchezo huo nampenzi/mke aliye salama.

[UNSET] (1).jpg
 
umenikumbusha, nimetoka kula mgebuka hapa kwenye mgahawa koko fulani, waliponiletea tu nikahisi harufu ya v kabisa. nikajua kwanini watu huwa wanasema kitu iko fishy.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
mara ya kwanza kunyonya papuchi kidogo nitapike kwanza niliiangalia na yenyewe ikanitizama huku imevimba mashavu
Na ilivyo na sura mbaya. acheni uchafu huo vijana. wahenga walisema wanawake sura zenu zingekuwa zinaonyesha huku nje ni v, tungekuwa tunawakimbia kwa kiwewe. sio kwa lisura lile, hasa mashetani yakilipanda au pale linapokuwa limesinzia.
 
na ilivyo na sura mbaya. acheni uchafu huo vijana. wahenga walisema wanawake sura zenu zingekuwa zinaonyesha huku nje ni v, tungekuwa tunawakimbia kwa kiwewe. sio kwa lisura lile, hasa mashetani yakilipanda au pale linapokuwa limesinzia.
Wazee ndo walambaji. Vijana zao mikongo yaani na mavumbi vumbi ya kukomoa. Akitoa elfu anataka pafuke moshi.
 
na ilivyo na sura mbaya. acheni uchafu huo vijana. wahenga walisema wanawake sura zenu zingekuwa zinaonyesha huku nje ni v, tungekuwa tunawakimbia kwa kiwewe. sio kwa lisura lile, hasa mashetani yakilipanda au pale linapokuwa limesinzia.
Tutake radhi mkuuu. Si ndo humo mnatakaga kuingia mpk na mbupu zote
 
Huo ujinga sitokuja kuufanya kamwe
ujinga wa nini? ina maana hata shavings huwa hufanyi, na ukifanya huwa hujiangalii, unajionea aibu mwenyewe? kuchukua kioo, unachuchumaa na kuangalia maungo yako ni ujinga?

sawa na ex wangu fulani wa zamani huko alikuwa anasema ujinga wa kusafisha....hatakuja kuufanya kisingizio anaona kama atakuwa anajipiga madole, mwisho wa siku ndo mnakuwa fishy kwasababu utoko unagandamana huko ndani hadi unaota ukoko, wewe kama mtu mzima tunajua sio virgin iyo kitu ina thamani tena?

isafishe, ichunguze, na ipende hivyo hivyo ilivyo na sura mbaya. sisi tutaangalia uso wako, sura ya iyo kitu Mungu aliwahurumia imebaki sehem ya siri. ila zingebandikwa usoni hapo, kiburi chenu chote kingeisha.
 
Ni kweli maana hakuna mtu mzima anayeweza kuelezwa na mwanamke azame chumvini. Ni uchafu hakuna mfanowe zaidi ya hapo ni kudharaulisha uanaume
bro, what's done by two parties behind the walls ni siri yao, lakini binafsi niliacha huo uchafu, sio kwasababu nyingine, bali kwasababu ya dini na ninaamini ukifanya hivyo umeshachafua hadi kinywa chako, hakitakuwa kitakatifu, though bado kuna discussion kwa wanandoa kama ni haram.

lakini kiukweli ni kwamba, wife wangu alianza kutokufurahia nikifanya hivyo na ni baada ya kujikita sana kwenye mambo ya dini. pia, kikawaida, oral sex is no different from what lesbians do, na kwa mtu wa dini asingependa icho kifanyike kwenye maisha yake.
 
Back
Top Bottom