bro, what's done by two parties behind the walls ni siri yao, lakini binafsi niliacha huo uchafu, sio kwasababu nyingine, bali kwasababu ya dini na ninaamini ukifanya hivyo umeshachafua hadi kinywa chako, hakitakuwa kitakatifu, though bado kuna discussion kwa wanandoa kama ni haram. lakini kiukweli ni kwamba, wife wangu alianza kutokufurahia nikifanya hivyo na ni baada ya kujikita sana kwenye mambo ya dini. pia, kikawaida, oral sex is no different from what lesbians do, na kwa mtu wa dini asingependa icho kifanyike kwenye maisha yake.