Zitambue Mila za ajabu za kabila la Kayan

Zitambue Mila za ajabu za kabila la Kayan

Waethiopia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapana walikuwa nchi nyingi sana ukiangalia historia ya nyuma sana 400AD
Mpaka Europeans wamo kama waliokuwa wanaitwa Germanic na hata baadhi ya wafaransa na Vanuatu na kwa Africa ni Congo, Maya na Inca pia walikuwa wanafanya modifications hizi na hata wahindi

Yaani mtoto akifika mwezi mmoja anafungwa kichwa mpaka miezi 6
Sijui akili ndio ikae sawa
20180911_222659.jpeg
20180911_222640.jpeg
 
Back
Top Bottom