Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Mmhh...mkonga peke ake hautoshi kusisimuana...wanamiss vitu hawa akyanani..Nasikia na wanaume wao huwa wanarefusha sehemu zao za siti kwa kutumia bangili ndogo ndogo kwa hiyo sioni kama kuna haja ya kusisimuana wakati mkonga unatosha.