Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
ndiyo naskia leohili sikulijua, kumbe jamaa anaingia kabisa kwenye siku zake...??
Mkuu ulaaniwe popote ulipo na kizazi chako chote1. Tofauti na wanyama wengne ndio mwenye majina mengi duniani. Mimi ntataja machache tu kwenye orodha.
2. Mkuu wa meza bana hacheuwi
3. Vilevile nguruwe huyu akipata njaa akakosa chakula yeye hula watoto wake wote.
4. Kiti moto wazee anachuchu kama za mtu kabisa.
5. Nimwana Israel aloraniwa Jangwani akiwa na Mussa.
6. Huyu msyekere yeye nyama yake ukiweka juani anageuka kuwa funza kabisaaaa!
7. Ana sifa yakufa kizembe sana yani ukichoma udi kwenye banda lake unakuta mizoga baada ya mda mchache.
KUBWA KULIKO, MBUZI KATORIKI ANAINGIA BLID KABISA KAMA MWANADAMU
USIGUSE HATA MIZOGA YAO.View attachment 1816117
Huyu anae zungumza hajui hata nguruwe anaishije kasimuliwa na wapumbavu wenzie hukohili sikulijua, kumbe jamaa anaingia kabisa kwenye siku zake...??
MUNGU ndiye aliyemuumba "mwanadamu". MUNGU ndiye anayejua chakula sahihi kinachomfaa binadamu na ndiyo maana ameweka mwongozo wa nini kiliwe na nini kisiliwe.Mungu anamaana yake pale alipotuambia tusile nguruwe sema binadamu wabishi tu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Uyu nguruwe me mwenyeweee ninamtafuna tena na castle lager bariidi lakini hainizuii kumzungumzia maajabu yakeeUsilolijua ni kuwa ndio mnyama msafiki kuliko wanyama wote wafugwao.
Usisahau pia kuwa nguruwe hakulaniwa bali alidhuhiliwa kuliwa.
Mbona mnamsema sana nguruwe ila mnamfumbia macho ng'amia bata, sungura, kamongo, kambare nk? Kuna nn nyuma ya nguruwe?
Alafu sijui kwanini vitu vingi vinavyosemekana ni vitamu saana vimekatazwaa[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]Yote sawa tu cha msingi nyama yake tamu sisi hata kama ni tairi la gari likiwa tamu tutakula tu
Nani kakuambia Kama sili?? lakini je hiyo inazuia kuzungumzia ukweli juu ya sifa zake?Mkuu ulaaniwe popote ulipo na kizazi chako chote
Unapata wapi ujasili wa kumtafuti wakati huli
Unapata wapi uwezo wakuzungumzia mali iliyo wapa watu uatajiri hata wewe unatumia hivyo vilivyo nunuliwa kwa nguruwe
Unapata wapi nguvu ya kuacha ibada yako na kutafiti ibada ya wengne
Fanya yanayo kuhusu usiangalie ya mwenzio
Walitaka wawe wanakula wenyewe kimya kimya🤣Alafu sijui kwanini vitu vingi vinavyosemekana ni vitamu saana vimekatazwaa[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Kama upo maeneo ya karibu tunaweza kujumuika wote ila msema kweli ni mpenzi wa MunguBaadae naenda kumtafuna
Ukweli gani huo unao zungumza mi najua hujui chochote kuhusu nguruweNani kakuambia Kama sili?? lakini je hiyo inazuia kuzungumzia ukweli juu ya sifa zake?