Zitambue sifa za Nguruwe

Mzee
Kuhusu kucheua ni kweli hacheui


Mengine ni chuki zako binafsi.

Jaribu kuukaa naye muyamalize
 
Mzee
Kuhusu kucheua ni kweli hacheui


Mengine ni chuki zako binafsi.

Jaribu kuukaa naye muyamalize
 
Hapo namba 6 ni umbeya mtupu wala hakuna ukweli wowote!!
 
Siku moja Jaribu uile hata kwa kujificha.
 
Mbona hata mbwa wanaenda mwezini. Mbwa pia wakifanyiwa inbreeding wanakula watoto zao!
 
Watu wanasema eti watu wenye majini ndio mnaogopa kula nguruwe.
Ni kwa nini ukiwa na majini uogope kula nguruwe?
Kwasababu ukila kitimoto yake majini yote yanadisolve tumboni, si ata yesu aliyatupa majini kwa nguruwe bila ya hivyo yangemrudia tu yule chizi.
Mnyama mtamu sana mwenye faida lukuki, kwenye ulimwengu wa kiroho huyu ni kama ak47
 
Kwasasa inajina jipya Nalo ni DAWA ,waislam ndowanatumia ,utasikia ile dawa tayari.hahaaaa kweli nguruwe mtamu hakwepeki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…