Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
AsanteKaribu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AsanteKaribu
Mzee1. Tofauti na wanyama wengne ndio mwenye majina mengi duniani. Mimi ntataja machache tu kwenye orodha.
2. Mkuu wa meza bana hacheuwi
3. Vilevile nguruwe huyu akipata njaa akakosa chakula yeye hula watoto wake wote.
4. Kiti moto wazee anachuchu kama za mtu kabisa.
5. Nimwana Israel aloraniwa Jangwani akiwa na Mussa.
6. Huyu msyekere yeye nyama yake ukiweka juani anageuka kuwa funza kabisaaaa!
7. Ana sifa yakufa kizembe sana yani ukichoma udi kwenye banda lake unakuta mizoga baada ya mda mchache.
KUBWA KULIKO, MBUZI KATORIKI ANAINGIA BLID KABISA KAMA MWANADAMU
USIGUSE HATA MIZOGA YAO.View attachment 1816117

Mungu alikwambia wapi usile nguruwe??Mungu anamaana yake pale alipotuambia tusile nguruwe sema binadamu wabishi tu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Baadae naenda kumtafuna
Hapo namba 6 ni umbeya mtupu wala hakuna ukweli wowote!!1. Tofauti na wanyama wengne ndio mwenye majina mengi duniani. Mimi ntataja machache tu kwenye orodha.
2. Mkuu wa meza bana hacheuwi
3. Vilevile nguruwe huyu akipata njaa akakosa chakula yeye hula watoto wake wote.
4. Kiti moto wazee anachuchu kama za mtu kabisa.
5. Nimwana Israel aloraniwa Jangwani akiwa na Mussa.
6. Huyu msyekere yeye nyama yake ukiweka juani anageuka kuwa funza kabisaaaa!
7. Ana sifa yakufa kizembe sana yani ukichoma udi kwenye banda lake unakuta mizoga baada ya mda mchache.
KUBWA KULIKO, MBUZI KATORIKI ANAINGIA BLID KABISA KAMA MWANADAMU
USIGUSE HATA MIZOGA YAO.View attachment 1816117
Na asimlazimishe kuyakubali maoni yake tu, amsikilize kwa makiniMzee
Kuhusu kucheua ni kweli hacheui
Mengine ni chuki zako binafsi.
Jaribu kuukaa naye muyamalize
Hadi majirani wanashangilia
Siku moja Jaribu uile hata kwa kujificha.1. Tofauti na wanyama wengne ndio mwenye majina mengi duniani. Mimi ntataja machache tu kwenye orodha.
2. Mkuu wa meza bana hacheuwi
3. Vilevile nguruwe huyu akipata njaa akakosa chakula yeye hula watoto wake wote.
4. Kiti moto wazee anachuchu kama za mtu kabisa.
5. Nimwana Israel aloraniwa Jangwani akiwa na Mussa.
6. Huyu msyekere yeye nyama yake ukiweka juani anageuka kuwa funza kabisaaaa!
7. Ana sifa yakufa kizembe sana yani ukichoma udi kwenye banda lake unakuta mizoga baada ya mda mchache.
KUBWA KULIKO, MBUZI KATORIKI ANAINGIA BLID KABISA KAMA MWANADAMU
USIGUSE HATA MIZOGA YAO.View attachment 1816117
Nikae na nguruwee[emoji43][emoji43][emoji125][emoji125]Mzee
Kuhusu kucheua ni kweli hacheui
Mengine ni chuki zako binafsi.
Jaribu kuukaa naye muyamalize
Kwasababu ukila kitimoto yake majini yote yanadisolve tumboni, si ata yesu aliyatupa majini kwa nguruwe bila ya hivyo yangemrudia tu yule chizi.Watu wanasema eti watu wenye majini ndio mnaogopa kula nguruwe.
Ni kwa nini ukiwa na majini uogope kula nguruwe?