Zitambue taratibu za Kufungua Maabara binafsi ya Afya na Makadirio ya Gharama zake

Watanzania wengi wanaugua ila hawajui wanaugua nini, hapa maana yake anasaidia wajue wanachougua kwa hatua zaidi za tiba!

Kazi yako kubwa ni kuomba watu waugue,wasipo ugua unanuna biashara ngumu.
 
Hizo za maabara kwamba sasa unataka kuhamisha hiyo maabara toka mkoa mmoja hadi mwingine.
Hio sijui mkuu,wasiliana na Mratibu wa maabara wa eneo lako
 
Hakika umeandika, hapa mtu ukiwa na M30 kumbe unakuwa na maabara kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…