Zitambue taratibu za Kufungua Maabara binafsi ya Afya na Makadirio ya Gharama zake

Zitambue taratibu za Kufungua Maabara binafsi ya Afya na Makadirio ya Gharama zake

Ubarikiwe saana na Mungu akuzidishie

Ombi langu waweza saidia pia kuhusu taratibu za Dispensary, Health Center.....maana ninayo ndoto hiyo najitafta mdo mdogo....natanguliza shukrani 🙏
Asante sana Mkuu,kuhusu Dispensary au health center sina ufahamu navyo mkuu,labda uanzishe Uzi humu huwezi kosa michango ya wajuzi,usiache hio ndoto ife
 
Back
Top Bottom