Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuugua Kwa mwanadamu ni kawaidaBarikiwa sana, ila kazi yako kubwa itakua kuomba watu waugue ili ipate wateja, this life is fuvk.
Yaani mtu anaomba uugue ili aje apate hela.
Asante mkuu
Asante sana Mkuu,kuhusu Dispensary au health center sina ufahamu navyo mkuu,labda uanzishe Uzi humu huwezi kosa michango ya wajuzi,usiache hio ndoto ifeUbarikiwe saana na Mungu akuzidishie
Ombi langu waweza saidia pia kuhusu taratibu za Dispensary, Health Center.....maana ninayo ndoto hiyo najitafta mdo mdogo....natanguliza shukrani 🙏