Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 12,001
- 27,175
- Thread starter
- #101
Kusumbua wanasumbua kweli,maana leo watasema hivi kesho vile,shida kubwa nao ni kutokuwa na makini tu,ukimpa mtu maelezo yote na vitu vinavyotakiwa tangu mwanzo kwa maandishi wala hakuna kitu kigumuAhsante mkuu mi nimefungua ila wakaguzi wanasumbua balaaha make incinerator sijajenga nipo karibu na nyumba ya DLT wa mkoa mwingine