Zitambue taratibu za Kufungua Maabara binafsi ya Afya na Makadirio ya Gharama zake

Nina hii biashara mkuu ukiona kwa juu unaweza sema inapesa nyingi na utakua tajiri kesho [emoji23][emoji23]
 
[emoji3][emoji3],hongera kwanini unasema hivyo mkuu?
 
Asikudanganye mtu mkuu kwa siku unaweza ata usipate 3000 usipokuwa mjnja wakucheza na mamlaka uweke na kaduka ka dawa pembeni.
[emoji3]Aisee,biashara nayo ina changamoto, lakini si kuna siku zinakuwa nzuri unafidia?maana kuna mdau hapo juu kasema kwa siku mbaya hakosi 60,000 na kama siku hio ni nzuri 180,000 inamhusu ambapo kwa mwezi ni 2-3M.
 
Inategemea na eneo lakin ila ukiingia na matarajio makubwa bila kusubri utakata tamaa mno , uwekazaji wake ni mkubwa kuliko faida , inatakiwa uchukuwe mda kwenye soko. Ukichanganya na dawa kiujanja unatoka fasta.
 
Ni kweli inatakiwa uvumilivu,uipe muda,na pia kama ilivyo biashara nyingine yeyote, eneo ilipo pia ndio itaamua mzunguko wa wateja,duka la dawa pia linachangamsha
 
Back
Top Bottom