Hellow!
Mh Zitto yule wa awamu ya Tano first half, na Zitto huyu wa awamu Tano kipindi cha pili sijui ni watu wawili tofauti?
Nakumbuka uliichambua vyema report ya CAG Enzi ya Magufuli na ulionekana kutatizwa juu ya wapi ilipo 1.5 Trilioni ukinukuu hesabu zile za Serikali.
Sasa limetokea jambo lile lile na huonekani kutoka kuichambua report kama ambavyo ulikuwa ukifanya awali.
Njoo tafadhali uchambue report ya CAG Ili ufungue njia njema ya kuwapokea wale G55 chama chako kipate ruzuku ya kukutosha.
Karibuni 🙏