Rais akiwa Muislam Zitto huwezi kumuona akiwa mkosoaji.Hellow!
Mh Zitto yule wa awamu ya Tano first half, na Zitto huyu wa awamu Tano kipindi cha pili sijui ni watu wawili tofauti?
Nakumbuka uliichambua vyema report ya CAG Enzi ya Magufuli na ulionekana kutatizwa juu ya wapi ilipo 1.5 Trilioni ukinukuu hesabu zile za Serikali.
Sasa limetokea jambo lile lile na huonekani kutoka kuichambua report kama ambavyo ulikuwa ukifanya awali.
Njoo tafadhali uchambue report ya CAG Ili ufungue njia njema ya kuwapokea wale G55.
Karibuni 🙏
Zitto Kabwe ni mdini na mnafiki sana. Ni mwanasiasa mjanjamjanja tu.Hellow!
Mh Zitto yule wa awamu ya Tano first half, na Zitto huyu wa awamu Tano kipindi cha pili sijui ni watu wawili tofauti?
Nakumbuka uliichambua vyema report ya CAG Enzi ya Magufuli na ulionekana kutatizwa juu ya wapi ilipo 1.5 Trilioni ukinukuu hesabu zile za Serikali.
Sasa limetokea jambo lile lile na huonekani kutoka kuichambua report kama ambavyo ulikuwa ukifanya awali.
Njoo tafadhali uchambue report ya CAG Ili ufungue njia njema ya kuwapokea wale G55 chama chako kipate ruzuku ya kukutosha.
Karibuni 🙏
Kwani Rais ana dini?Rais akiwa Muislam Zitto huwezi kumuona akiwa mkosoaji.
Sasa G55 wamekarikushwa kule,Zitto Kabwe ni mdini na mnafiki sana. Ni mwanasiasa mjanjamjanja tu.
Kumbe SI wa kuaminika?zito mipango mingi sana Toka enzi tupo tosamaganga high skul ,tunasumbua stendi kuu ya zamani iringaple.....mjanja mjanja
Hao G55 ni njaa tupu zinawasumbua, hawana lolote kwenye siasa za Tanzania.Sasa G55 wamekarikushwa kule,
Itakuwaje?
Hapo Zitto hawezi kutia neno kwa vile Rais ni nduguye katika imani nakumbuka zile Trillion 1.5 za enzi za Magufuli alizishikia bango ile mbaya.Hellow!
Mh Zitto yule wa awamu ya Tano first half, na Zitto huyu wa awamu Tano kipindi cha pili sijui ni watu wawili tofauti?
Nakumbuka uliichambua vyema report ya CAG Enzi ya Magufuli na ulionekana kutatizwa juu ya wapi ilipo 1.5 Trilioni ukinukuu hesabu zile za Serikali.
Sasa limetokea jambo lile lile na huonekani kutoka kuichambua report kama ambavyo ulikuwa ukifanya awali.
Njoo tafadhali uchambue report ya CAG Ili ufungue njia njema ya kuwapokea wale G55 chama chako kipate ruzuku ya kukutosha.
Karibuni 🙏
Kijana huyu mnafiki alifa ikiwa kuwahadaa watz na wengi walimwamini,Hapo Zitto hawezi kutia neno kwa vile Rais ni nduguye katika imani nakumbuka zile Trillion 1.5 za enzi za Magufuli alizishikia bango ile mbaya.
Kabla ya kuasi ndiye alikuwa anaandaliwa kuja kuwa mwenyekiti baada ya Mbowe na watu mfumo wakamuwahi kumrecruit bahati nzuri kipindi kile intelejensia ya Chadema ilikuwa vizuri nao wakapewa taarifa toka huko huko kuwa jamaa tayari ameingia kwenye mfumo vinginevyo asingestukiwa na akaja kupewa uenyekiti Chadema sasa hivi ingekuwa kama TLP tu.Kijana huyu mnafiki alifa ikiwa kuwahadaa watz na wengi walimwamini,
What if angepewa uongozi mkubwa,
Poor him!
Zito kabwe ni mdini sana hafai kuwa kiongozi ,rais akiwa mkristo Huwa anakuwa mkosoaji mkuu,rais akiwa muislamu zito Huwa kimya kabisa mdini sana, hafai kabisa kiongoza hata kijijiHellow!
Mh Zitto yule wa awamu ya Tano first half, na Zitto huyu wa awamu Tano kipindi cha pili sijui ni watu wawili tofauti?
Nakumbuka uliichambua vyema report ya CAG Enzi ya Magufuli na ulionekana kutatizwa juu ya wapi ilipo 1.5 Trilioni ukinukuu hesabu zile za Serikali.
Sasa limetokea jambo lile lile na huonekani kutoka kuichambua report kama ambavyo ulikuwa ukifanya awali.
Njoo tafadhali uchambue report ya CAG Ili ufungue njia njema ya kuwapokea wale G55 chama chako kipate ruzuku ya kukutosha.
Karibuni 🙏
Zitto ni mjinga flani mfia diniRais akiwa Muislam Zitto huwezi kumuona akiwa mkosoaji.
Kwake dini ni no 1, utaifa baadae.Rais angekuwa Mkristo angesema
Kabisa yaaniKwake dini ni no 1, utaifa baadae.