Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
well done mahakama huru ya Tanzania. Well done wananchi wote kwa kuziamini na kuzitumia vyema mahakama huru za Tanzania katika kutafuta haki zenu.πKutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Kigoma muda mfupi uliopita leo, Alhamisi tarehe 16/07/2026 Mahakama imeifuta kesi ya uchaguzi iliyokuwa imefunguliwa Mahakamani hapo na wananchi wanne (4) waliojitambulisha kuwa wapiga kura wa Jimbo la Kigoma Mjini dhidi ya Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini (CCM) Clayton Revocatus Chipando (Baba Levo)
Uamuzi uliosomwa Mahakamani hapo leo na Jaji Victoria Nongwa aliyekuwa anasikiliza kesi hiyo iliyokuwa inapinga uhalali wa 'Ubunge wa Baba Levo' amesema hoja zote zilizoletwa na walalamikaji ikiwemo hoja za utekaji, madai ya rushwa, udini nk, zimeshindwa kuishawishi Mahakama moja kwa moja kukubaliana kutokana na kwamba ushahidi uliowasilishwa Mahakamani hapo umekosa mashiko
Mahakama imesema kutokana na dosari kadhaa zilizobainishwa na Mahakama kutoka kwa walalamikaji ambao ni wanachama wa ACT Wazalendo, ushahidi uliowasilishwa Mahakamani hapo haina mashiko na kwamba walalamikiwa wote ikiwemo INEC hawana kesi ya kujibu
Chawa mkuu wa mama. Nchi inaendeshwa kwa remote control kila mahali.Kesi imefutwa mahakamani. Ushahidi umeonyesha hana kesi ya kujibu.
π
Muhuni hasusiwi ni kauli tu iliyotoka bila fikra timilifu.Lengo kuu la hivyo vyama uchwara lilikuwa ni kuikomoa CHADEMA na wao kujipa ukubwa wasiokuwa nao.Waliambiwa wasishiriki uchaguzi wakasema muhuni hasusiwi.
Kweli kabisa. Mwisho wa siku wamefeli wao.Muhuni hasusiwi ni kauli tu iliyotoka bila fikra timilifu.Lengo kuu la hivyo vyama uchwara lilikuwa ni kuikomoa CHADEMA na wao kujipa ukubwa wasiokuwa nao.
Zitto Kabwe kawa double crossed/dumped!Kabla ya kutia saini ya maridhiano kule Zanzibar Ilionekana kua Babalevo anaenda kushindwa ila baada ya kutia saini Zitto kabwagwa
Hiyo CCM [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
It's a damn shame!Kweli kabisa. Mwisho wa siku wamefeli wao.
Mkuu uko kimya pm. Mkuu Tlaatlaahwell done mahakama huru ya Tanzania. Well done wananchi wote kwa kuziamini na kuzitumia vyema mahakama huru za Tanzania katika kutafuta haki zenu.π
Hivi mahakama zinakuwaje huru wakati majaji wanateuliwa na mwenyekiti wa chama tawala?well done mahakama huru ya Tanzania. Well done wananchi wote kwa kuziamini na kuzitumia vyema mahakama huru za Tanzania katika kutafuta haki zenu.π
Mr Super chawawell done mahakama huru ya Tanzania. Well done wananchi wote kwa kuziamini na kuzitumia vyema mahakama huru za Tanzania katika kutafuta haki zenu.π