Good job Zitto
Wapendwa tuwapeni TAFU chadema, peke yao hawataweza. Kampeni ya mtu na mtu tuipige vilivyo, kuhakikisha tunaongeza vijana wengi bungeni na kuibuka na ushindi.
Nimevutiwa sana na wabunge wa chadema, ambao so far nimewaona kwenye kipindi cha mchakato cha TBC1. Wanajenga hoja za uhakika, na wengi damu mbichi kabisa.
Makamba ameshamtaka hawatahudhuria hiyo midahalo, kwa sababu inakusanya wa kariakoo...hiyo ni dharau sijapata kuisikia maishani, kwani watu wa kariakoo sio watu..??
Big Up Zitto we are behind you.
Wapenda haki na maendeleo, tuliochoswa na CCM tunajua CHADEMA ndio chaguo sahihi.