Elections 2010 Zitto aanza ziara mikoa ya Pwani na Kusini

Elections 2010 Zitto aanza ziara mikoa ya Pwani na Kusini

Good job Zitto

Wapendwa tuwapeni TAFU chadema, peke yao hawataweza. Kampeni ya mtu na mtu tuipige vilivyo, kuhakikisha tunaongeza vijana wengi bungeni na kuibuka na ushindi.

Nimevutiwa sana na wabunge wa chadema, ambao so far nimewaona kwenye kipindi cha mchakato cha TBC1. Wanajenga hoja za uhakika, na wengi damu mbichi kabisa.

Makamba ameshamtaka hawatahudhuria hiyo midahalo, kwa sababu inakusanya wa kariakoo...hiyo ni dharau sijapata kuisikia maishani, kwani watu wa kariakoo sio watu..??

Big Up Zitto we are behind you.

Wapenda haki na maendeleo, tuliochoswa na CCM tunajua CHADEMA ndio chaguo sahihi.
 
Habibu mchange namfahamu ni kijana mkini mwenye mikakati endelevu kijana toka chuo kikuu Dodoma.km wanakibaha watampa watakuwa wamejitendea haki,shwala la udogo wa umri halina nafac katika siasa kwani hata Nelson mandela,jk Nyerere walianza harakati wakiwa vijana,rais joseph kabila ni kijana mdogo lakin sasa kongo imetulia,swala linalotakiwa hapa ni busara na hekima sio umri.Habibu mchange anaweza kwan ni kijana makini..wanavyuo wote tuko nyuma ya vijana wetu..mbona mizee mingi ya ccm inaakil za kitoto kuliko hata vijana.
 
Safi sana Zitto. Elewa kwamba wewe ni wa thamani sana kwetu na tunathamini sana mchango wako katika harakati za ukombozi wa watanzania. Katika wanamegeuzi Tz tunakuweka katika nishani ya dhahabu. Tupo pamoja mzee Zitto.
GO ZITTO GOOOO....
 
Msichokielewa ni kuwa Zitto harudi bungeni. Fuatilieni siasa za kule mtaona. Endeleeni na hizo ngojera za Agostino Moshi anaejifariji eti chadema itaendesha serikali wakati CCM ina viti zaidi ya 15 ilivyopata bila kupingwa.

Kawaambieni anakwenda maeneo yenye matarajio ya ushindi, sasa hesabuni majimbo aliyokwenda. Tokeni mwende kwa wananchi mkakisaidie chama ushindi haupatikani kwa ngojera za JF na magazeti.

Kuna kitu Zitto amekisema na mnakiogopa kukijadili, udini udini. Padri will never be a president of this country. Muulizeni Zitto kama huyo Slaa atapata kura Kule kwao ambapo Chadema ilikuwa na madiwani wengi.
 
Back
Top Bottom