Zitto acha kudharaulisha upinzani, wapinzani sio wa kulenga kupata viti 30, 40 au 50 vya ubunge.

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Huyo mtu yuko serious kweli na mabadiliko? Yani baada ya miaka 35 ya siasa za vyama vingi anawaambia wapinzani walenge kupata chini ya 18% ya viti vya ubunge zama hizi!
Screenshot_20250703_125325_X.jpg
 
Yeye lengo lake aongeze walau ruzuku.Kisisa yupo ili kupata pesa,ilhali akina Lissu hawawazi kama yeye.Huwezi ukakuta haka kajamaa kamefanyiwa kitu kibaya,maana kanawasaidia kutatua baadhi ya mambo.
 
Kwa kweli kutaja idadi ya chini ya majimbo inatafakarisha sana.
Hii itawapa mwanya ccm kuangalia majimbo yasiyokuwa na ushawishi mkubwa kufikiria kuyaacha then wakaweka nguvu kwenye majimbo nyeti ili yasiende upinzani.

Kwanini asiwaze majimbo 150 plus, kwani kukiwa na tume huru hili linashindikanaje?

Nachelea kusema hili bwana Kabwe hajalisema kwa bahati mbaya, kuna kitu kimelengwa.

Wapinzani wasingekuwa wabinafsi, mwaka huu wangeweka Historia ya kipekee kabisa.
 
Kigoma mjini
Same Mashariki
Tunduru
Pemba
30 tayari anakuwa KUB.
 
Kwa kweli kutaja idadi ya chini ya majimbo inatafakarisha sana.
Hii itawapa mwanya ccm kuangalia majimbo yasiyokuwa na ushawishi mkubwa kufikiria kuyaacha then wakaweka nguvu kwenye majimbo nyeti ili yasiende upinzani.

Kwanini asiwaze majimbo 150 plus, kwani kukiwa na tume huru hili linashindikanaje?

Nachelea kusema hili bwana Kabwe hajalisema kwa bahati mbaya, kuna kitu kimelengwa.

Wapinzani wasingekuwa wabinafsi, mwaka huu wangeweka Historia ya kipekee kabisa.
Huyo ni dalali wa siasa tu, hahitaji mabadiliko yoyote ya maana.
 
Yeye lengo lake aongeze walau ruzuku.Kisisa yupo ili kupata pesa,ilhali akina Lissu hawawazi kama yeye.Huwezi ukakuta haka kajamaa kamefanyiwa kitu kibaya,maana kanawasaidia kutatua baadhi ya mambo.
Ni vizuri kuwaza katika uhalisia na si kuwaza zaidi ya uwezo ulionano. Nampongeza ZZK kwa kuwa mkweli. Tumewaona waliokuwa G55 kama kweli ndio walikuwa wagombea pekee wa kuindoa ccm madarakani, bado safari ni ndefu sana.
 
Huyo mtu yuko serious kweli na mabadiliko? Yani baada ya miaka 35 ya siasa za vyama vingi anawaambia wapinzani walenge kupata chini ya 18% ya viti vya ubunge zama hizi!
View attachment 3392586
Anateseka sawa kwa kutupangia hizi idadi(namba tatu ) alizozitaja ni miongoni mwao ahadi za makubaliano ya kukamilisha idadi ya majimbo atakayoachiwa.
 
Ditto ni chawa wa JK lazima ashiriki kuhujumu upinzani!!
 
Huyo mtu yuko serious kweli na mabadiliko? Yani baada ya miaka 35 ya siasa za vyama vingi anawaambia wapinzani walenge kupata chini ya 18% ya viti vya ubunge zama hizi!
View attachment 3392586
Ndugu yangu ww unadhani Zitto atasema nn kwenye uchaguzi kama huu ilhali ameshavuta mpunga wake mnono,Alafu mama Samia ni mama yake,na ni wa upande wake,Hawa akina Zitto sio wapinzani kamwe ni wasanii kwenye kundi la wapinzani,Alafu ukiitwa CCM B unakataa.Hao ndio mashehe ubwabwa wa kwenye politics.
 
Back
Top Bottom