Zitto adai itachukua miaka kumi kurudia hali ya uchumi tuliokuwa nayo mwaka 2015

If I tell you that you are still evolving will that be an insult?
 
Uharibifu wa UCHUMI siku zote ni kama KANSA. Unatafuna nchi kidogo kidogo, mpaka kila mtu anakuja kushtuka IT'S TOO LATE !!

Zimbabwe tangu wavurugwe na "Mzalendo" mpaka leo HALI TETE
[emoji23][emoji23] eti mzalendo...watu wanakufa umasikini njaa ujinga, eti mzalendo leo hata hamna anayemkumbuka yuko huko chini ya ardhi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lets talk about other things,we are tired of political stories...
Everyone is only looking prestige...
 
Aache maneno

Tupo kwenye mikono salama ya Magufuli
 
Hio upumbavu uishie huko huko twitter.Kwenye uchumi jamaa anafanya vizuri sana kwa kuweka misingi imara sana ya kuwezesha uchumi wetu kupaa. Kwenye demokrasia hapo ndio anaharibu
Uchumi wa kununua ndege na kutembea na hela kwenye mabegi? Uchumi wa kupangia bajeti chumbani yeye na mkewe?? Yaani bunge kazi yake nini?

Kaa kimya ndugu yangu Watanzania sio wajinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23] eti mzalendo...watu wanakufa umasikini njaa ujinga, eti mzalendo leo hata hamna anayemkumbuka yuko huko chini ya ardhi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulizaliwa na mama bila ndoa kwa hiyo haya mawazo ya ki simbe sikushangai

Nchi inasonga mbele ila wasaka tonge ndio mnatingishika kina baba wametumbuliwa kila kona na mama nyumba ndogo analia all the time.

Na wewe mtoto unamsaidia mama kulia ili baba mdogo apate ahueni
Duh bonge la drama!

Magufuli kiboko yao

2025[emoji818][emoji1241] tuko na bulldozer JPM!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchumi wa kununua ndege na kutembea na hela kwenye mabegi? Uchumi wa kupangia bajeti chumbani yeye na mkewe?? Yaani bunge kazi yake nini?

Kaa kimya ndugu yangu Watanzania sio wajinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukikariri na kuongea tuu bila kufikiria ndio utakuja na hoja ya kijinga kama hii. The President is building hydro electric Dam kwa ajili ya kuzalisha umeme wakutosha kuendesha viwanda.bila nishati viwanda ni ndoto na analifanya hili vizuri sana. Amepanua na kuongeza kina cha gati bandarini sasa hivi meli kubwa zinatia nanga na mizigo sasa hivi ni ya kumwaga bandarini.Umeme vijijini na miradi ya maji inatekelezwa almost nchi nzima.ondoa itikadi utaona mambo katika uhalisia wake
 
Hio upumbavu uishie huko huko twitter.Kwenye uchumi jamaa anafanya vizuri sana kwa kuweka misingi imara sana ya kuwezesha uchumi wetu kupaa. Kwenye demokrasia hapo ndio anaharibu
Kwanini uchumi haupai sasa kama ameweka misingi?
 
Kwanini uchumi haupai sasa kama ameweka misingi?
Misingi ndio inajengwa ndugu.Stigler bado haijaisha.reli haijaisha, bandari imemalizika na tunaona matokeo chanya sasa.relax after three years come back to this thread utaona mambo
 
Acheni UFALA SASA HIVI VIWANJA NA NYUMBA VIMESHUKA BEI. HAKUNA UDALALI WA KI FALA FALA.
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwani sasa hakuna wanaoingia ikulu kama nyumbani???? na kupata vya bure????
 
Zitto ana PhD ya uongo
 
Kwa hiyo andhani Membe ndio anaweza kutuletea maendeleo au kutuingiza kwenye lindi la UFISADI NA RUSHWA uliokithiri na wenye mfanano na ule wa wizi wa chenji/alibaki ya pesa ya RADAR au wizi wa fedha zilizotolewa na Serikali/Wawekezaji kutoka Libya!? Let us settle hili first la huyo candidate wake before ya kupingana na WB juu ya mwelekeo wa uchumi wa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…