Kasimba G
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 3,428
- 2,613
If I tell you that you are still evolving will that be an insult?
Kazi ya zitto ni upotoshaji,na mbaya zaidi hatuelezi watanzania a way forward.
Akiangalia salio linazidi kushuka kwa kasi.
Huku matumizi ya vimada yakizidi kupaa.
Mbaya zaidi anajua kabisa ubunge ndio bye bye!
Msumari wa moto ni pale anapozidi kukimbiwa na kutengwa na wanachama chake mwenyewe.
Ndio maana ameanza kujifunika baibui la mbeleko za zanzibar!
Time will tell.
VIVA JPM 2020 - 2025 [emoji1241][emoji818]
Sent using Jamii Forums mobile app