LGE2024 Zitto ahwahimiza wakazi wa Mvomero kufanya mabadiliko kwa kuichagua ACT Wazalendo uchaguzi wa serikali za mitaa

LGE2024 Zitto ahwahimiza wakazi wa Mvomero kufanya mabadiliko kwa kuichagua ACT Wazalendo uchaguzi wa serikali za mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho huko Mvomero, mkoani Morogoro amewataka kikiunga mkono chama hicho katika chaguzi zijazo ikiwemo uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba mwaka huu.

Bora hawa ACT-W. Wanatuma ujumbe unaoeleweka

CHADEMA, wao ni kufanya vurugu tu-Na sio hivyo tu, Sasa wanamuunga mkono beberu kuishtaki Tanzania nchi za nje.
 
Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Kwahiyo unawashauri CHADEMA wasusie Uchaguzi??😂😂😂😂😂😌
Cdm wao kama chama wana utaratibu na msimamo wao, lakini sisi tunaojitambua tunajua hakuna uchaguzi, bali upuuzi kama upuuzi mwingine.
 
Cdm wao kama chama wana utaratibu na msimamo wao, lakini sisi tunaojitambua tunajua hakuna uchaguzi, bali upuuzi kama upuuzi mwingine.

Labda tu uwaambie wengine. Mie nilishamijueni👇🏿
"sisi tunaojitambua tunajua hakuna uchaguzi"

poleni sana, aisee mnawajali wananchi wetu🤭😁. Mpewe maua💐
 
Back
Top Bottom