Mwenzao ananyea debe wao huku wanaleta porojo, Mbowe anatakiwa kua na famia yake muda huu, Chadema waache upuuzi wao Zitto amewazidi.Yaan hawa wapuuzi bora hata MBOWE atoke anaeleweka.
Maana Tangu Mbowe awe ndani haieleweki wanataka nin?
Wa kuomba msahama ni Rais Samia sio Mbowe[emoji374][emoji19][emoji374][emoji19][emoji374][emoji19][emoji1534][emoji1534][emoji1534]View attachment 2046053
Tumeshakwambia Mbowe hahitaji kusamehewa anahitaji kuachiwa huru kwa sababu kesi ni ya kubumba. Mbona huelewi wewe wakala?
Wa kuomba msahama ni Rais Samia sio Mbowe
Kumbe Zitto walikubaliana kwenye vikao na wakuu wa vyama vingine Jana yeye akafanya kinyume?? Zitto ni mnafiki. Ukiwa mtu mzima na akili kama za Zitto ni hatari sana.huko waliko wanajuta sana maana igizo walilofanya limebuma na limeumbua unafiki wao.
Aliyemfunga nani?? Basi wamwachieMwenzao ananyea debe wao huku wanaleta porojo, Mbowe anatakiwa kua na famia yake muda huu, Chadema waache upuuzi wao Zitto amewazidi.
Sisi 😀nyie watu imekuwaje mmekuwa wepesi hiviNyie ndio mliomfunga vipi mbona mnahaha atoke? Nini kimeharibika?
Waliomfunga ni nyie viroboto leo mnajifanya mnataka aachiwe huru kwa kutwezwa na hao hao waliomfunga.Sisi 😀nyie watu imekuwaje mmekuwa wepesi hivi
Kukichwa kutapambazuka... mwenye haki anatakiwa kuwaomba wakosaji msamaha! Only in Tz! Halafu wale makomandoo walivyoteswa simply kulazimisha yasiyokuwepo! Bnadamu unafikiaje kiwango hiki cha unyama?
Amewazidi kuimba msamaha kwa kosa ambalo halojathibishwa?Mwenzao ananyea debe wao huku wanaleta porojo, Mbowe anatakiwa kua na famia yake muda huu, Chadema waache upuuzi wao Zitto amewazidi.
Sawa kosa halijasibitishwa, je nyie mnafanya nini ili mwenyekiti atoke jela. Mbowe anatakiwa awe uraiani na familia yake kwa njia yoyote ile.Amewazidi kuimba msamaha kwa kosa ambalo halojathibishwa?
Yeye mwenyewe aliyepo gerezani hataki kutolewa kwa msamaha aliombewa na Zitto..Acheni upuuzi wenu, mmetulia majumbani mwenu na familia zenu mwezenu anasota jela. Mnazani Mbowe atatoka kwa hashtag zenu! Chadema imeshapoteza mwelekeo, mpo disorganized sana katika hili, mwezenu anateseka nyie mnapiga porojo tu.
Sio kweli!Yeye mwenyewe aliyepo gerezani hataki kutolewa kwa msamaha aliombewa na Zitto..
Msamaha wa Mchongo
Huo ndo ukweliSio kweli!
Wewe nawe umekuwa Zitto familia ya Mbowe imekutuma uisemee? mdomo huoo.Familia yake inamuhitaji kuliko nyinyi mnaopiga domo tuu hapa.
Hebu kakae wewe jela basi kama ni kuzuri, ni lazima mjue kuna wakati gani muwe hardcore na wakati gani wa ku compromise sio muda wote mpo frontline tuu, na hizi ndizo busara zitatupa amani kuwa kumbe siku hawa wakishika dola tutakuwa tunaongozwa na watu sahihi, sasa kwa hali hii muda wote ni vita tuu hapana kwakweli.Wewe nawe umekuwa Zitto familia ya Mbowe imekutuma uisemee? mdomo huoo.
Natamani Mbowe ndo aongee km anahitaj msamaha au laah sisi tupo uraiani na wake zetu hatujui maumivu anayopitia mwamba
Yaani unataka GAIDI atoke ndani halafu atuvurugie Krismas yetu na mwaka mpya kwa kukata miti na kuziba barabara na kuchoma vituo vya mafuta??? Hizo huruma za kumwachia GAIDI hatari zimeanza lini?Mwenzao ananyea debe wao huku wanaleta porojo, Mbowe anatakiwa kua na famia yake muda huu, Chadema waache upuuzi wao Zitto amewazidi.