Hapo ndipo uwezo wako wa kujibu hoja ulipofikia!!🤣
Swali ni hili; Ni wapi katika hotuba ya Zitto mbele ya Rais Samia, Zitto alimuombea Mbowe "MSAMAHA" ??!!---- hotuba yote ya Zitto ipo, kama mnashindwa kujibu hilo swali mpelekeeni Tundu Lissu aje anijibu hapa kwani ni yeye ndiye anapotosha umma kwamba Zitto kamuombea MSAMAHA Mbowe, Zitto alimuomba Rais Samia amuachie (yaani amfutie mashitaka) Mbowe na sio ASAMEHEWE kama jinsi Tundu Lissu anavyopotosha umma.
Kwanini Tundu anapotosha umma; nadhani kwasababu kitendo alichofanya Zitto kimemuuma kutokufanywa na Yeye au mwanachadema yeyote na hii ni ujinga wenu kutokuhudhuria ule mkutano ambapo kiongozi mmoja wa chadema ndiye angaliwasilisha ombi la kufutiwa mashitaka Mbowe, sasa inaonekana kama Mbowe ataachiwa hiyo itakuwa ni credit kwa Zitto na political mileage kwa ACT kitu ambacho Tundu Lissu hataki na ndio maana anamshutumu Zitto kijinga na kwa Wivu kama kwamba hapendi kuona Mbowe akitolewa mahabusu.🤣