Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni upuuzi wenu, mmetulia majumbani mwenu na familia zenu mwezenu anasota jela. Mnazani Mbowe atatoka kwa hashtag zenu! Chadema imeshapoteza mwelekeo, mpo disorganized sana katika hili, mwezenu anateseka nyie mnapiga porojo tu.
Yaan hawa wapuuzi bora hata MBOWE atoke anaeleweka.
Maana Tangu Mbowe awe ndani haieleweki wanataka nin?
Mwenzao ananyea debe wao huku wanaleta porojo, Mbowe anatakiwa kua na famia yake muda huu, Chadema waache upuuzi wao Zitto amewazidi.
Familia yake inamuhitaji kuliko nyinyi mnaopiga domo tuu hapa.
Rwegamalira hakusamehewa bali Jamuhuri ilimfutia kesi baada ya kukosa ushahidi hata wa kubumba kwa zaidi ya miaka 5!Mbona Rugemalira alisamehewa?!
Na huyu Askofu wakala wa nani? 🙄View attachment 2046053
Tumeshakwambia Mbowe hahitaji kusamehewa anahitaji kuachiwa huru kwa sababu kesi ni ya kubumba. Mbona huelewi wewe wakala?
Wa kuomba msahama ni Rais Samia sio Mbowe
Kwani ni sisi tuliyetunga hiyo kesi ya ugaidi?Nyie watu wa ajabu kweli! Mwenzenu anateseka nyie mnapiga porojo kisha mnarudi kwenye familia zenu.
Sasa na wewe ni msemaji wa Mbowe hata uje ujibu hapa? We naww umewashwa nini au ww nike wa mbowe?