SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Na kwenye majibu Hangaya alimsifia huyu snitch na kuahidi kuwa atakuwa anahudhuria kwenye mikutano ya chama chake.View attachment 2046053
Tumeshakwambia Mbowe hahitaji kusamehewa anahitaji kuachiwa huru kwa sababu kesi ni ya kubumba. Mbona huelewi wewe wakala?
Wa kuomba msahama ni Rais Samia sio Mbowe
Upuuzi wa kubambikia watu kesi za ugaidiRaisi aombe radhi kwa upuuzi upi?
Wapuuzi ni nyie chawa wa hangaya.Yaan hawa wapuuzi bora hata MBOWE atoke anaeleweka.
Maana Tangu Mbowe awe ndani haieleweki wanataka nin?
Mpuuzi ni wewe kiroboto wa HangayaMwenzao ananyea debe wao huku wanaleta porojo, Mbowe anatakiwa kua na famia yake muda huu, Chadema waache upuuzi wao Zitto amewazidi.
Ha ha ha! Yaani mwenyekiti yupo Angoni wewe unarusha matusi huku, tumsaidie mwenyekiti kwa njia yoyote ile arudi uraiani famia yake inamhitaji sana.
Akili zake hazina akili, mpuuzeFicha upumbavu wako mkuu,sijui lini utatumia akili kwenye kuchangia hoja humu
Anamtetea "musilamu" mwenzake! Hectic!View attachment 2046053
Tumeshakwambia Mbowe hahitaji kusamehewa anahitaji kuachiwa huru kwa sababu kesi ni ya kubumba. Mbona huelewi wewe wakala?
Wa kuomba msahama ni Rais Samia sio Mbowe
View attachment 2046053
Tumeshakwambia Mbowe hahitaji kusamehewa anahitaji kuachiwa huru kwa sababu kesi ni ya kubumba. Mbona huelewi wewe wakala?
Wa kuomba msahama ni Rais Samia sio Mbowe
Atarudi lakini siyo kwa kumpigia shetani magoti.Ha ha ha! Yaani mwenyekiti yupo Angoni wewe unarusha matusi huku, tumsaidie mwenyekiti kwa njia yoyote ile arudi uraiani famia yake inamhitaji sana.
View attachment 2046053
Tumeshakwambia Mbowe hahitaji kusamehewa anahitaji kuachiwa huru kwa sababu kesi ni ya kubumba. Mbona huelewi wewe wakala?
Wa kuomba msahama ni Rais Samia sio Mbowe
Una krismass gani masikini na fukara mkubwa wewe?Yaani unataka GAIDI atoke ndani halafu atuvurugie Krismas yetu na mwaka mpya kwa kukata miti na kuziba barabara na kuchoma vituo vya mafuta??? Hizo huruma za kumwachia GAIDI hatari zimeanza lini?
Hizo akili atazitoa wapi wakati hakuzaliwa nazo.Ficha upumbavu wako mkuu,sijui lini utatumia akili kwenye kuchangia hoja humu
Weye ni lipuuzi.Nyie Chadema akili zenu hazipo sawa; hivi ni wapi Zitto katika hotuba yake Mbele ya Rais Samia aliomba Mbowe "ASAMEHEWE", Zitto aliomba Mwenzetu mmoja (Mbowe) aachiwe kwa mujibu wa sheria na taratibu wala hakusema "asamehewe", hilo neno msamaha kaliweka Tundu Lissu ili kupotosha umma.
Nenda U tube na usikilize hotuba ya Zitto ipo very clear na wala hakuomba Mbowe asamehewe.
Wewe ndo mpuuzi,kwani mbowe ni mtoto hadi asemewe na wapuuzi kama wewe.Kesi inamhusu yeye kwahiyo anaweza kuamua vyovyote kujiletea nafuu sasa wewe ni nani by the way hadi ujifanye unawashwa sana na mambo ya mbowe kuliko yeye mwenyewe.Acheni upuuzi wenu, mmetulia majumbani mwenu na familia zenu mwezenu anasota jela. Mnazani Mbowe atatoka kwa hashtag zenu! Chadema imeshapoteza mwelekeo, mpo disorganized sana katika hili, mwezenu anateseka nyie mnapiga porojo tu.
Nyie watu wa ajabu kweli! Mwenzenu anateseka nyie mnapiga porojo kisha mnarudi kwenye familia zenu.Atarudi lakini siyo kwa kumpigia shetani magoti.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Sasa na wewe ni msemaji wa Mbowe hata uje ujibu hapa? We naww umewashwa nini au ww nike wa mbowe?Wewe ndo mpuuzi,kwani mbowe ni mtoto hadi asemewe na wapuuzi kama wewe.Kesi inamhusu yeye kwahiyo anaweza kuamua vyovyote kujiletea nafuu sasa wewe ni nani by the way hadi ujifanye unawashwa sana na mambo ya mbowe kuliko yeye mwenyewe.
Weye ni lipuuzi.
Wewe ni mjinga wa karne nyingi sana.Usijifanye unampenda sana mbowe.Mimi mbowe hajanituma na wewe hajakutuma sasa unawashwa nini na kinyeo.toa unafiki wako hapa.Nyie watu wa ajabu kweli! Mwenzenu anateseka nyie mnapiga porojo kisha mnarudi kwenye familia zenu.
Sasa na wewe ni msemaji wa Mbowe hata uje ujibu hapa? We naww umewashwa nini au ww nike wa mbowe?
Hapo ndipo uwezo wako wa kujibu hoja ulipofikia!!🤣
Swali ni hili; Ni wapi katika hotuba ya Zitto mbele ya Rais Samia, Zitto alimuombea Mbowe "MSAMAHA" ??!!---- hotuba yote ya Zitto ipo, kama mnashindwa kujibu hilo swali mpelekeeni Tundu Lissu aje anijibu hapa kwani ni yeye ndiye anapotosha umma kwamba Zitto kamuombea MSAMAHA Mbowe, Zitto alimuomba Rais Samia amuachie (yaani amfutie mashitaka) Mbowe na sio ASAMEHEWE kama jinsi Tundu Lissu anavyopotosha umma.
Kwanini Tundu anapotosha umma; nadhani kwasababu kitendo alichofanya Zitto kimemuuma kutokufanywa na Yeye au mwanachadema yeyote na hii ni ujinga wenu kutokuhudhuria ule mkutano ambapo kiongozi mmoja wa chadema ndiye angaliwasilisha ombi la kufutiwa mashitaka Mbowe, sasa inaonekana kama Mbowe ataachiwa hiyo itakuwa ni credit kwa Zitto na political mileage kwa ACT kitu ambacho Tundu Lissu hataki na ndio maana anamshutumu Zitto kijinga na kwa Wivu kama kwamba hapendi kuona Mbowe akitolewa mahabusu.🤣
Tikisa kichwa uone kama upo sawa.Maelezo meeeeeengiii ujinga mtupu.
Kuna kiumbe amekuzuia kuishi unaloamini?Kaa hivyohivyo.Nawe tikisa kichwa, fumbua macho na masikio nenda YouTube kasikilize hotuba ya Zitto na utagundua jinsi Lissu anavyompakazia Zitto, Lissu anataka kutuaminisha kwamba Zitto alimuombea msamaha Mbowe kitu ambacho sio KWELI ni uongo wa Lissu mbaya zaidi Watz wengi kama ulivyokuwa wewe huwa hamsomi, hamsikilizi bali mnapenda kutafuniwa na kulishwa vyenye mate.