Zitto Alazwa Muhimbili

Zitto Alazwa Muhimbili

Status
Not open for further replies.
Anaendelea vizuri na huenda akapata discharge muda wowote kuanzia sasa ,japo kaugua kipindi kibaya kwani mchango wake kwenye hotuba ya madini ulikuwa unahitaqjika sana sana .

Mungu yuu upande wa Zitto hivyo msihofu atapona .

sasa hapa nimeamka kidogo, alikuwa kwenye kamati ya madini, kiwira imo kwenye report hii, serikali inatumia nguvu zote kumuokoa MKAPA na KIWIRA, mada ilioko mezani kwenye mjadala wa bunge ni wizara ya madini af mwisho kabisa leo Zitto anaumwa, ameumwa gafla....kazidiwa usiku..... kalazwa muhimbili....
 
kwani kumuombea kupumzika kwa amani ni kosa ? u unataka niseme apumzike kwa shida?

Watu huombewa wapumzike kwa amani kwa Mungu mara baada ya KUFA.
So ni bora useme tu GET WELL SOON!

Ugonjwa ni mapambano na si mapumziko!

Anaweza akawa amelazwa na wewe kusema huko ni kupumzika..Lakini hai make sense at all...!

Mwili unapopigana na ugonjwa hauko mapumzikoni...Bali kinga za mwili ziko kazini zikipambana na ugonjwa..Na hivyo hata mwili huweza kudhoofu!

Sasa hayo ndio mapumziko ya RAHA?

I hope that this time it make sense.
 
sasa hapa nimeamka kidogo, alikuwa kwenye kamati ya madini, kiwira imo kwenye report hii, serikali inatumia nguvu zote kumuokoa MKAPA na KIWIRA, mada ilioko mezani kwenye mjadala wa bunge ni wizara ya madini af mwisho kabisa leo Zitto anaumwa, ameumwa gafla....kazidiwa usiku..... kalazwa muhimbili....

Haya ndiyo maswali ya kuuliza kwani mjadala BUNGENI ni mkali na umefikia mahali ambapo ni LAZIMA UHITAJI WAKE BUNGENI UMEKUWA MKUBWA!
Na hapo ndio kaazi kweli kweli!
Ila tutajuwa kila kitu bana!
 
Sasa nijuavyo mimi unene au "obesity" ni pale ambapo mtu anakuwa na eccess fat mwilini hasa sehemu izungukayo kiunoni na hivyo kusababisha pamoja na magonjwa mengine "diabetes".

Na uzito au "overweight" ni pale ambapo BMI au Body Mass Index ya mtu inazidi 25 au mpaka 29.

Sijui umenifahamu hapo?

Unene kwa kiswahili changu cha kliniki ni pale uzito unapozidi BMI ya 25 na ili kuwa proportional kwenye BMI yako inabidi upunguze au uongeze unene which is the same language as upunguze au uongeze uzito. Mtu anakuwa obese pale BMI inapofikia 29
 
Tunashukuru kusikia zitto kwa sasa anaendelea vizuri, tunamuomba Mungu amzidishie nguvu na afya tele. Nikijana mwenzangu bado namuhitaji sana. Amen
 
Jamani mwenye habari ya Zitto za mida hii, anaendeleaje? Na bado, mwenye wivu ajinyonge. Hakuna kitu mbaya kama inferiority complex!
 
Mwulize JK alikutana naye huko Ujepu na bado atakutana naye mwezi AUGUST ila ni Baada ya Mkamapssxcuse me...MKAPA MAP'S DESTRUCTION HENCE JUSTICE!

Make sense?

!!!! Not at all!!!
 
Nyani Ngabu huwa hana matatizo!
Tunajuwa tatizo likwapi!
Na badala ya kupambana kwa hoja tunajuwa kuna wapuuzi wengi tu humu ndani wenye DOUBLE STANDARDS!
Eti AITIWE NYAMA HATARI!
Nyama gani hiyo hatari?
ya sehemu gani zamwili?
Hatutaki ushambenga kwenye issues!
 
Anaendelea vyema japo hajatoka hosipitalini kama tulivyotarajia hivyo bado yupo Muhimbili ,ila anaendelea vizuri .

Kilichomfanya asitoke ni ushauri wa madaktari tuu kuwa waendelee kumwangalia kwa ukaribu zaidi.
 
Unene kwa kiswahili changu cha kliniki ni pale uzito unapozidi BMI ya 25 na ili kuwa proportional kwenye BMI yako inabidi upunguze au uongeze unene which is the same language as upunguze au uongeze uzito. Mtu anakuwa obese pale BMI inapofikia 29

Na anapokuwa overweight inakuaje?

Hata hivyo nafikiri nimeeleza hicho.

BMI ni pale unapogawa uzito wako kwa urefu au kimo na ndio uanjua kwamba mtu ni overweight.

Lakini ukiwa umekula mafuta saaana basi yatajaa pale eneo la kiunoni na utakuwa condemned as obese or fat.
 
kaangalie kwa dictionary definition ya obese = overweight
 
Anaendelea vyema japo hajatoka hosipitalini kama tulivyotarajia hivyo bado yupo Muhimbili ,ila anaendelea vizuri .

Kilichomfanya asitoke ni ushauri wa madaktari tuu kuwa waendelee kumwangalia kwa ukaribu zaidi.

Asante sana kwa taarifa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom