Tuandamane
JF-Expert Member
- Feb 2, 2008
- 1,221
- 55
Anaendelea vizuri na huenda akapata discharge muda wowote kuanzia sasa ,japo kaugua kipindi kibaya kwani mchango wake kwenye hotuba ya madini ulikuwa unahitaqjika sana sana .
Mungu yuu upande wa Zitto hivyo msihofu atapona .
sasa hapa nimeamka kidogo, alikuwa kwenye kamati ya madini, kiwira imo kwenye report hii, serikali inatumia nguvu zote kumuokoa MKAPA na KIWIRA, mada ilioko mezani kwenye mjadala wa bunge ni wizara ya madini af mwisho kabisa leo Zitto anaumwa, ameumwa gafla....kazidiwa usiku..... kalazwa muhimbili....