Zitto amezidi kuwachefua Watanzania

Tatizo ni Zitto kawazidi ujanja wenzie wa CDM, baada ya kumpa tuhuma za usaliti wakajua atajiunga CCM ila haikua hivyo akatokea ACT. Wakakaa kimya then baada ya hapo Anna Mghwira na Prof Kitila wakahamia CCM, CDM wakaja na hoja kua jamaa ni matter of time tu ataenda CCM lakini haikua hivyo. Ikaja tena issue ya Maalim Seif, Zitto akawazidi ujanja tena Maalim kaangukia ACT badala ya CDM.

So far Zitto has been a pain in the ass kwa CDM. Na kitu kimoja is sure chuki ya CDM kwa Zitto ni kubwa kuliko hata kwa serikali dhalimu ya CCM.
 
Chadema hapo ndio mnafeli, mnaacha kujipanga vizuri mnaishia kulalamikia watu Tu

Katiba mpya haiwez kupatikana kama serikali haijataka so mtu wa kulaumiwa ni serikali

Nyie chadema mna ela ya kufanya mchakato wa katiba mpya? Au katiba mpya to you ni kama kwenda uwanjani kusema pepors power
 
Mwache atumie akili zake kusaka ugali ale na familia yake
.
Hana ubunge, Zitto ni jobless unafikiri ataishije ....

Kaongea Jambo la ukweli, nyie mmefanya nn mbowe atoke? Kesi ya mbowe ni siasa Tu, sasa mtu ana siku 200 gerezani nyie mpo Tu mnaandika mipasho
 
Wameachwa na Nani. Na walikuwa wamekatazwa Nani. Na Nani mwenye hati miliki na nchi hii kukataza wengine. Nyie mitanzania Ni mizuzu

Hapo ndio mnafeli, ww ujui kuwa kuna serikali? Shida mnajifanya kama hakuna kitu mnatambua kama kuna rais na kuna serikali,

Hata lisu angekuwa ndio rais unadhan chadema wangeweza kufanya hayo mnayotaka kufanya nyie bila utaratibu na mngewaacha?
 
Kwani rais yuko juu ya Sheria. Sheria zinasemaje kuhusu human rights? Ukishasoma Sheria ndo utajua hicho unachokiongea ni lack of knowledge tu. Yaani hata we mtu mzima unaamini rais yuko juu ya sheria
 
Kaka tuko Africa, hatuko ulaya, magufuli alivyokuwa anafukuza watu alifata sheria gani?

Nani alienda kumshitaki?
 
Wameachwa na nani. Na walikuwa wamekatazwa nani. Na Nani mwenye hati miliki na nchi hii kukataza wengine. Nyie mitanzania Ni mizuzu
Hayo maswali yanaweza kuulizwa na mjinga tu na akajibiwa kijinga kabisa.
Kama wewe sio miongoni mwa hayo mazuzu basi utakuwa zezeta kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…