Cvez
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 4,405
- 13,411
Tatizo ni Zitto kawazidi ujanja wenzie wa CDM, baada ya kumpa tuhuma za usaliti wakajua atajiunga CCM ila haikua hivyo akatokea ACT. Wakakaa kimya then baada ya hapo Anna Mghwira na Prof Kitila wakahamia CCM, CDM wakaja na hoja kua jamaa ni matter of time tu ataenda CCM lakini haikua hivyo. Ikaja tena issue ya Maalim Seif, Zitto akawazidi ujanja tena Maalim kaangukia ACT badala ya CDM.Nadhani tatizo siyo Zito kuwa na chama chake, tatizo la Zito ni unafiki na ukigeugeu.
Ni Zito, baada ya wanachama na wapenzi wa chama chake kuuawa kule Zanzibar wakati wa uchaguzi, aliyetamka kuwa hawatayatambua matokeo ya uchaguzi Zanzibar, na hawatashirikiana na Serikali ya CCM Zanzibar. Wenzake kutoka vyama vya upunzani wakamwunga mkono.
Ghafla akabadilika, ja kusema yupo kwenye SUK. Waliomwunga mkono, akawaacha hewani.
Akasema ACT wazalendo itapigania katiba mpya, ghafla akabadilika kuwa wanaunga mkono mpango wa CCM wa Tume ya uchaguzi kwanza.
Kigeugeu wa namna hii utamwamini kwa lipi? Hata CCM wakifanya kosa la kumwamini Zito, watashangaa siku atakapowageuka. Zito ni popo, si mnyama, si ndege.
So far Zitto has been a pain in the ass kwa CDM. Na kitu kimoja is sure chuki ya CDM kwa Zitto ni kubwa kuliko hata kwa serikali dhalimu ya CCM.