Zitto Arejea Ujerumani kwa PhD

Zitto Arejea Ujerumani kwa PhD

Put record straight jamani,

Mh. Zitto hafanyi PhD. He is doing his Masters. Jamani watu mkileta mada hapa ni vyema kufanya research. Sasa angalia thread nzima wamemuamini mleta mada, wakati na yeye hana uhakika na anachokiandika. Next time please do your research siyo kuja hapa kutoa info ambazo wewe mwenyewe huna uhakika nazo. NA HAPA NAANDIKA KWA CONFIDENCE MAANA NAJUA KABISA MKUBWA ANAFANYA MASTERS na Siyo PHD.

Otherwise, jamani, tujifunze kitu kimoja. Kutokubaliana siyo uadui. Kama hukubaliani na Mh. Zitto nadhani ni kwa mtizamo wa hoja, na si vyema kuanza kudemonize each other. Thats politics. Tushindanishe hoja. emotions zetu zisitufanye tuone wale wasiokubaliana na mawazo yetu kama wasaliti. Hapana siyo vyema. After all we cant be the same and our way of thinking is and must be different. Personally sikubaliani na mtizamo wa Zitto katika hili la DOWANS lakini sina budi kuuheshimu mtizamo wake. Maana atleast yeye kauweka wazi..ni tofauti na sisi tuanoandikia kwenye keyboard ya computer bila kuongea mbele ya umma. We should stand up and be counted.

Otherwise na mimi ningependa Serikali inunue mitambo hii moja kwa moja toka kiwandani. Kama inaweza kuagiza mashangingi mia saba kutoka Japan..kwanini ishindwe kuagiza genereta mbili toka GE or Siemens? Something fishy is in the pipeline.

Otherwise kwa Mh. Zitto, kila lakheri katika masomo yako. Elimu ni lulu. It neither has limits nor an end. Ongeza ujuzi urudi tulijenge taifa.

Masanja,

Naomba nisahihishe kidogo. Sijaanza PHD bado. Ninaandika proposal ya PHD na nimepewa mpaka mwezi Mei mwakani kuwa nimemaliza na proposal kupitishwa na msimamizi wangu katika chuo cha WHU-OttoBeisheim School of Management. Ninajiandaa na shahada ya uzamivu katika uchumi rasilimali - Resources economics na nikifanikiwa, inshaallah, nitaanza rasmi kusoma ili kupata Doctorate of Economic Sciences.
Wakati huu ambao ninaandika proposal nimejienroll Bucerius Law School kwa masomo ya sheria za Biashara, shahada ya uzamili - ninaandika kuhusu mfumo wa kodi katika sekta ya madini (fiscal stability clauses in the mining sector. Unnecessary evil?).

Hivyo, naomba ieleweke kuwa bado sijaanza masomo ya PHD kama MBALAMWEZI alivyoandika hapa. Sijui Mbalamwezi katoa wapi habari hizi maana angeniuliza kwanza.......................

duh! I guess Zitto katudanganya na yeye...unless proposal ya pHD imekuwa masters....hahaha! Watanzania tusijifanye wajuaji kama hatujui ukweli wa mambo. Sasa ndugu yangu Masanja umemponda mwenzako alafu kumbe na wewe ni yale yale tu! Hamko serious kabisa...
 
duh! I guess Zitto katudanganya na yeye...unless proposal ya pHD imekuwa masters....hahaha!
mkuu Zitto kasema annadika proposol ili later aanze PhD sasa unabisha nini? labda masters hasomi si alifaulu vema kalukishwa madarasa....mgeni majuu nini?
 
what kind of nonsense is this? are you implying watu wasisome? kwani kiwanja wakiwa nazo na wasiseme who cares? acheni wivu wa kijinga, kama vp na nyie kasomeni.

wewe kaka/dada mimi nimezungumzia kwa ujumla wake jinsi wanasiasa wa bongo wanavyoona ujiko kuwa na PhD mpaka wengine wakaamua kuzichonga.Na hii ndiyo inawasukuma wengine nao wajione wadogo na kuamua kuzitafuta hata kama hawazihitaji kwa kipindi kile.Haya wapi niliposema watu wasisome?wapi namuonea wivu Zitto eti kwavile anaenda kusoma PhD ujerumani?
 
mkuu Zitto kasema annadika proposol ili later aanze PhD sasa unabisha nini? labda masters hasomi si alifaulu vema kalukishwa madarasa....mgeni majuu nini?

u missed the point mazee...soma post vizuri, includinng the quoted material! In short: it's written in a sarcastic manner...if u get me. duh!
 
u missed the point mazee...soma post vizuri, includinng the quoted material! In short: it's written in a sarcastic manner...if u get me. duh!
kumbe na mie hujanisoma vizuri.....
 
mkuu Zitto kasema annadika proposol ili later aanze PhD sasa unabisha nini? labda masters hasomi si alifaulu vema kalukishwa madarasa....mgeni majuu nini?

ujerumani unasoma Diploma na kama unafaulu vizuri unafanya PhD, diploma ya ujerumani kibongo tayari ni masters, wabishi kaulizeni bongo kunakohusika.
 
Huyu jamaa kweli nae ana msimamo wa kueleweka, na ina maana sasa siasa basi au?

Ni nini hasa anachohitaji zaidi au ndio ku-please umma ya kuwa Zitto has a Phd. He has already established himself as a young innovative politician why throw that away now.

You got the basics of the economy, Your a politician now not an ecnomists. Offer thoughts to ecnomists and argue with them. Let them advise you with the basics of economy make your mind if you intend to remain in politics.

Unajua this is why africans suffer Phd, Phd, Phd so what they get it wrong all the time this economists. If he wanted to become a better politician I think Law would have been the skill he needed to become a better speaker and politicians rather than a Phd on something he already has a concept of hit.

Learn to be a better politician than concentrate on pleasing the public with unnecesary credentials. Use examples of useless scholars we have in the government who are not performing. If anything its because they are in the wrong employment.

Mkuu sidhani kama kusoma sheria kunamfanya mtu kuwa mwanasiasa bora. Vilevile sidhani kwa mwanasiasa kuwa na PhD ni tatizo. Labda nikutoe shaka tu, tuweke siasa kando, unapokuwa na Phd upeo wako wa kuchambua maswala unakuwa tofauti kabisa na mtu ambaye hana hiyo Phd na mifano ipo mingi. Angalia hata kwenye familia yako kama kuna mtu mwenye PhD. Hao unaowasema wapo kwenye 'wrong employment' ni kwa sababu aidha wamechanganya siasa na utaalamu au mfumo umekataa kutilia maanani mapendekezo yao. Hivyo sidhani kama PhD ni 'unecessary credential'-Labda kwako.
 
Put record straight jamani,

Mh. Zitto hafanyi PhD. He is doing his Masters. Jamani watu mkileta mada hapa ni vyema kufanya research. Sasa angalia thread nzima wamemuamini mleta mada, wakati na yeye hana uhakika na anachokiandika. Next time please do your research siyo kuja hapa kutoa info ambazo wewe mwenyewe huna uhakika nazo. NA HAPA NAANDIKA KWA CONFIDENCE MAANA NAJUA KABISA MKUBWA ANAFANYA MASTERS na Siyo PHD.

Masanja,

Aliyeleta mada si ajabu ni nusu kihiyo.
Ph.D yoyote yenye heshima ina muda mrefu wa kuitengeneza na si ya mwaka mmoja.Sitegemei Zito aingie katika kundi la Ma"DK" Nchimbi,M Nagu,Mzindakaya N.K.
Na wale wananchi je waliomchagua kwa miaka mitano wataridhia hili?
Hata hivyo kwa vyovyote vile ni bora kijana Zitto akasome maana umri na ari vina mruhusu ili akatoe mada zilizoenda shule na zile zinazo simamia PRINCIPLES na si fukuto la wakati.
 
Ni Zittophobia tu... mnatafuta sababu ya kila aina kumkatisha tamaa Kabwe. Kama hamumjui Zitto ulizeni muambiwe jamaa hakatishwi tamaa za wabwatukaji wa JF
 
Mkuu sidhani kama kusoma sheria kunamfanya mtu kuwa mwanasiasa bora. Vilevile sidhani kwa mwanasiasa kuwa na PhD ni tatizo. Labda nikutoe shaka tu, tuweke siasa kando, unapokuwa na Phd upeo wako wa kuchambua maswala unakuwa tofauti kabisa na mtu ambaye hana hiyo Phd na mifano ipo mingi. Angalia hata kwenye familia yako kama kuna mtu mwenye PhD. Hao unaowasema wapo kwenye 'wrong employment' ni kwa sababu aidha wamechanganya siasa na utaalamu au mfumo umekataa kutilia maanani mapendekezo yao. Hivyo sidhani kama PhD ni 'unecessary credential'-Labda kwako.

Mkuu Kekuye unaweza kuwa sawa lakini bado kuna makosa katika mantiki ya argument yako.
Uchambuzi mara nyingi unaofanywa na wataalam wetu wenye PhD mara nyingi unakuwa na walakini kwa sababu ya kukosa the neccessary broad experience katika masuala yanayowakabili.
Na katika hili lazima tukubali kuwa PhD yote ni mafanikio katika usomi wa kitafiti katika suala MOJA TU kwa mapana yake.
Mara nyingi kuwa na PhD ni sawa na kuwa na kajengo karefu sana uswahilini na wewe ukaishi ghorofa ya mwisho juu.
Hilvyo basi kuwa na PhD halimpi mwenye PhD utaalam wa kuchambua mambo yote, lakini lile tu analolifahamu kwa kina.
Suala hili wasomi ni lazima walielewe.
 
Huyu jamaa kweli nae ana msimamo wa kueleweka, na ina maana sasa siasa basi au?

Ni nini hasa anachohitaji zaidi au ndio ku-please umma ya kuwa Zitto has a Phd. He has already established himself as a young innovative politician why throw that away now.

You got the basics of the economy, Your a politician now not an ecnomists. Offer thoughts to ecnomists and argue with them. Let them advise you with the basics of economy make your mind if you intend to remain in politics.

Unajua this is why africans suffer Phd, Phd, Phd so what they get it wrong all the time this economists. If he wanted to become a better politician I think Law would have been the skill he needed to become a better speaker and politicians rather than a Phd on something he already has a concept of hit.

Learn to be a better politician than concentrate on pleasing the public with unnecesary credentials. Use examples of useless scholars we have in the government who are not performing. If anything its because they are in the wrong employment.

You nailed it dude! Zitto atuambie hiyo Phd (sijui ni kwenye fani gani) itamuwezeshaje kuleta maendeleo na kuhudumia vyema zaidi waliompa ubunge kule Kigoma Vijijini.

Why would an already well-established career politician decide to study for a Phd? In my view, Mr. Zitto doesn't need the subject-specific detailed knowledge of a Phd qualification in order to do a good job for his underdeveloped and poverty stricken constituents.

Not even in 100 times more advanced industrialized and highly complex Western societies is a Phd degree considered requisite for a career in politics.
 
Aiseee nami naomba vyuo vya bure....vya masters na phd
 
ina maana hii phd itasomwa kwa distance learning? .....kheri kwako zitto, manake naona kwa chuo cha maana na kusoma kwa distance utaisotea miaka mingi mno....but all th best
 
Mkuu sidhani kama kusoma sheria kunamfanya mtu kuwa mwanasiasa bora. Vilevile sidhani kwa mwanasiasa kuwa na PhD ni tatizo. Labda nikutoe shaka tu, tuweke siasa kando, unapokuwa na Phd upeo wako wa kuchambua maswala unakuwa tofauti kabisa na mtu ambaye hana hiyo Phd na mifano ipo mingi. Angalia hata kwenye familia yako kama kuna mtu mwenye PhD. Hao unaowasema wapo kwenye 'wrong employment' ni kwa sababu aidha wamechanganya siasa na utaalamu au mfumo umekataa kutilia maanani mapendekezo yao. Hivyo sidhani kama PhD ni 'unecessary credential'-Labda kwako.

I never said Phd was unnecessary credential in general, but to an established politician ahaa jamani? try and analyze what is written you sound as if ni ya second class mlimani.

He is a politician, law would give him the skills of forming better investigated argument (thats what lawyers do if you dont know). This would help him make better thoughtful arguments in any debate au hotuba kwenye hotuba zake.

Vinginevyo leo watu wasinge sema kalopa na mambo ya dowans. Ni open weakness kama wewe uioni. Bado ajui kutetea hoja sometimes analopoka shule imenifunza ku-investigate mkuu ndio maana udhaifu wake unaonekana.

Lastly amna 100% formula in humanities so those who go there (Phd) only aim to better whats there already, which offer nothing new to be honest which others havent investigated. Its a waste of time if you ask me Zitto needs to learn to investigate, tell him to give me his address and i'll send him a copy of reaseach methods for dummies.
 
Mbona kama vile hupendi Zitto ale buku majuu? unajua nyie watz wa namna hio bana mnanikera sana.....ulitaka nae a hasle kwenye box alipie masomo au niaje niaje?

wewe nawe.....Niko na MG

Toka lini MG akawa vaseline? Unacheza wewe...wanao kula raha na MG hawasemi...wenye njozi ndo wanasema
 
Naomba nisahihishe kidogo. Sijaanza PHD bado. Ninaandika proposal ya PHD na nimepewa mpaka mwezi Mei mwakani kuwa nimemaliza na proposal kupitishwa na msimamizi wangu katika chuo cha WHU-OttoBeisheim School of Management. Ninajiandaa na shahada ya uzamivu katika uchumi rasilimali - Resources economics na nikifanikiwa, inshaallah, nitaanza rasmi kusoma ili kupata Doctorate of Economic Sciences.
Wakati huu ambao ninaandika proposal nimejienroll Bucerius Law School kwa masomo ya sheria za Biashara, shahada ya uzamili - ninaandika kuhusu mfumo wa kodi katika sekta ya madini (fiscal stability clauses in the mining sector. Unnecessary evil?).

Hivyo, naomba ieleweke kuwa bado sijaanza masomo ya PHD kama MBALAMWEZI alivyoandika hapa. Sijui Mbalamwezi katoa wapi habari hizi maana angeniuliza kwanza.......................

Zitto afadhali umesema , maana ningalisema mie wangalisema katibu wake Zitto . Nimejua uko hapo muda sasa na najua ni masomo kwa kuwa hukusema nami nikauchuna . Najua wengi walijua hili lakini wakakaa kimya . Kuchafuana hadi mtu kuhoj Zitto ka[ata lini bachelors hii si JF jamani . Zitto kabla ya Ubunge amekuwa muda wote Ujerumani anasoma MSc ya Uchumi kama sikosei . Anyway ndiyo tulivyo kuacha issue ya maana na kurukia mambo binfasi . Pole sana Zitto .
 
Naomba kuuliza tatizo la Zitto hapa ni lipi? hadi kushambuliwa namna hii.
1.Tatizo ni kuwa nawazo la kujiendeleza kielimu?
2.Tatizo ni kusimamia mawazo yake na anavyoona kulingana na uelewa wake juu ya umeme na dowans??
3.ama tatizo ni lile lile la alipojaribu kuwania uenyekiti??

Tatizo anafanya siasa tofauti na zile siasa za matumbo tulizozizoea...
 
Back
Top Bottom