Huyo wampige mit tuChama cha ACT Wazalendo kimetoa taarifa kali ya kulaani kile kinachodaiwa kuwa ni uvamizi na kushikiliwa kwa muda kwa Kiongozi wake wa Chama Mstaafu, Zitto Zuberi Kabwe, na maofisa wa Jeshi la Polisi usiku wa tarehe 14 Julai 2025, akiwa katika hoteli mkoani Lindi
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Tanzania Bara, Ester Thomas, tukio hilo lilitokea majira ya saa sita usiku, ambapo polisi kutoka wilaya na mkoa wa Lindi waliwasili katika hoteli aliyofikia Zitto na baadaye kumpeleka katika kituo cha polisi kwa mahojiano ya zaidi ya nusu saa, pasipo kufahamisha mara moja kosa lake
āHatimaye, baada ya majibizano ya muda mrefu, polisi, majira ya saa saba na dakika nane usiku, walieleza na kubainisha kwamba wanamshikilia Kiongozi wa Chama Mstaafu kwa kosa la kutoa kauli za vitisho, kwa mujibu wa kifungu cha 89(2) cha sheria ya makosa ya jinai. Polisi hao walieleza kwamba kauli hizo za vitisho zilitokana na hotuba ya Ndugu Zitto Kabwe aliyoitoa siku ya tarehe 10/07/2025, akiwa kwenye mkutano wa hadhara Tunduru Kaskaziniā, imeeleza taarifa hiyo
Zitto Kabwe ameeleza kuwa atatoa maelezo yote mahakamani na alikataa kueleza zaidi kwa polisi, akisisitiza kuwa hiyo ni haki yake ya kisheria. Aliachwa huru majira ya saa nane usiku bila masharti yoyote
Ikumbukwe kuwa hivi karibuni, Zitto alitoa onyo kali kwa maafisa wa polisi na watendaji wengine wa serikali wanaoshiriki katika kile alichokiita uingizaji wa kura bandia kwenye uchaguzi, akisema chama hicho hakitasita kuchukua hatua hata kama mhusika ni askari wa vyombo vya ulinzi na usalama, onyo ambalo baadhi ya wachambuzi na wafuatiliaji wa masuala ya siasa wamelieleza kuwa ndiyo huenda imesababisha Zitto kuhojiwa Polisi
Akihutubia siku ya Alhamisi Julai 10, 2025 katika Jimbo la Tunduru Kaskazini, wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma Zitto alieleza kuwa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024, ACT Wazalendo ilimkamata afisa wa polisi akiwa amepakia kura bandia kwa lengo la kuzisambaza kwenye kituo cha kupigia kura, akisisitiza kuwa chama hicho hakitavumilia tena majaribio yoyote ya kuvuruga uchaguzi kwa āmbinu chafuā kama hizo
View attachment 3405408
View attachment 3405409
Soma pia: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Sema ni huko ingekuwa huku mjini sijui
Policcm wanapaswa wamkamate hata kiongozi mwanaccm mmoja kwa drama kisha wamuachie ili ionekane wamebalansi maana kwa hali ilivyo sasa hata mtoto wa chekechea ameaminishwa kuwa upinzani kwenye hii nchi ni uasi na ugaidi!
Ya kitoto mnoDrama
Zito anafanya drama tu na ccm ili kuwadanganya watu kuwa ni mpinzani..toka lini muislamu akawa mzalendoNadhani hotuba hii ndiyo chanzo cha kumkamata. sikiliza dakika ya 59 na kuendela
View: https://youtu.be/Bns5k1B9e_8
Kwamba mzee wa kiki na attention!!!!!! ApuuzweDrama tu hizi
Zito anafanya drama tu na ccm ili kuwadanganya watu kuwa ni mpinzani..toka lini muislamu akawa mzalendo
GereshaChama cha ACT Wazalendo kimetoa taarifa kali ya kulaani kile kinachodaiwa kuwa ni uvamizi na kushikiliwa kwa muda kwa Kiongozi wake wa Chama Mstaafu, Zitto Zuberi Kabwe, na maofisa wa Jeshi la Polisi usiku wa tarehe 14 Julai 2025, akiwa katika hoteli mkoani Lindi
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Tanzania Bara, Ester Thomas, tukio hilo lilitokea majira ya saa sita usiku, ambapo polisi kutoka wilaya na mkoa wa Lindi waliwasili katika hoteli aliyofikia Zitto na baadaye kumpeleka katika kituo cha polisi kwa mahojiano ya zaidi ya nusu saa, pasipo kufahamisha mara moja kosa lake
āHatimaye, baada ya majibizano ya muda mrefu, polisi, majira ya saa saba na dakika nane usiku, walieleza na kubainisha kwamba wanamshikilia Kiongozi wa Chama Mstaafu kwa kosa la kutoa kauli za vitisho, kwa mujibu wa kifungu cha 89(2) cha sheria ya makosa ya jinai. Polisi hao walieleza kwamba kauli hizo za vitisho zilitokana na hotuba ya Ndugu Zitto Kabwe aliyoitoa siku ya tarehe 10/07/2025, akiwa kwenye mkutano wa hadhara Tunduru Kaskaziniā, imeeleza taarifa hiyo
Zitto Kabwe ameeleza kuwa atatoa maelezo yote mahakamani na alikataa kueleza zaidi kwa polisi, akisisitiza kuwa hiyo ni haki yake ya kisheria. Aliachwa huru majira ya saa nane usiku bila masharti yoyote
Ikumbukwe kuwa hivi karibuni, Zitto alitoa onyo kali kwa maafisa wa polisi na watendaji wengine wa serikali wanaoshiriki katika kile alichokiita uingizaji wa kura bandia kwenye uchaguzi, akisema chama hicho hakitasita kuchukua hatua hata kama mhusika ni askari wa vyombo vya ulinzi na usalama, onyo ambalo baadhi ya wachambuzi na wafuatiliaji wa masuala ya siasa wamelieleza kuwa ndiyo huenda imesababisha Zitto kuhojiwa Polisi
Akihutubia siku ya Alhamisi Julai 10, 2025 katika Jimbo la Tunduru Kaskazini, wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma Zitto alieleza kuwa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024, ACT Wazalendo ilimkamata afisa wa polisi akiwa amepakia kura bandia kwa lengo la kuzisambaza kwenye kituo cha kupigia kura, akisisitiza kuwa chama hicho hakitavumilia tena majaribio yoyote ya kuvuruga uchaguzi kwa āmbinu chafuā kama hizo
View attachment 3405408
View attachment 3405409
Soma pia: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Geresha .......spinningView attachment 3405414View attachment 3405416View attachment 3405418
Kiongozi mstaafu wa Chama, ndugu Zitto Zuberi Kabwe, amedaiwa kukamatwa na polisi saa 6 usiku wa kuamkia Julai 14, 2025 na kisha kupelekwa kituo cha polisi Wilaya ya Lindi, lakini baadaye aliachiliwa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, John Imori alipotafutwa kwa simu kuzungumzia suala hilo, hakupatikana, lakini taarifa ya ACT Wazalendo imesema Zitto amedaiw akutoa kauli za vitisho katika hotuba yake aliyoitoa Julai 10 akiwa kwenye mkutano wa hadhara Tunduru Kaskazini Mkoa wa Ruvuma.
Taarifa hiyo iliyotolewaā
kupitia mtandao wa X leo Julai 14 imesema askari polisi walivamia hoteli aliyokuwa amefikia Zitto na kujaribu kumkamata.
āBaada ya purukushani katika hoteli hiyo, Ndugu Zitto Kabwe alienda katika kituo cha polisi cha wilaya ya Lindi, huku akiongozana na polisi, wanachama na mwanasheria wa chama. Kwa zaidi ya dakika 30, Kiongozi wa Chama Mstaafu alizongwa na polisi hao pasipo kuelezwa anashikiliwa kwa kosa gani.
āHatimaye, baada ya majibizano ya muda mrefu, polisi, majira ya saa saba na dakika nane usiku, walieleza na kubainisha kwamba wanamshikilia Kiongozi wa Chama Mstaafu kwa kosa la kutoa kauli za vitisho, kwa mujibu wa kifungu cha 89(2) cha sheria ya makosa ya jinai. Polisi hao walieleza kwamba kauli hizo za vitisho zilitokana na hotuba ya Ndugu Zitto Kabwe aliyoitoa siku ya tarehe 10/07/2025, akiwa kwenye mkutano wa hadhara Tunduru Kaskazini.ā
Taarifa hiyo imesema, Zitto alitoa taarifa binafsi na kueleza kuwa maelezo mengine yote atayatoa mahakamani.
āLicha ya kueleza hivyo, polisi waliendelea kumzonga wakimtaka kiongozi afafanue ya kwamba alimaanisha nini katika hotuba yake. Hata hivyo, Ndugu Zitto Kabwe alisisitiza kwamba kama atahitajika kutoa maelezo hayo mahakamani, basi atafanya hivyo, na si vinginevyo. Hatimaye, majira ya saa nane ndugu Zitto aliachiwa kutoka kituoni hapo pasipo masharti yeyote yale.
āChama cha ACT Wazalendo tunatangaza kwa msisitizo mkubwa, hatuko tayari kuendelea kuona misingi ya haki inakiukwa na kuendelea kushuhudia nchi yetu inaendeshwa kihuni na genge la wahuni wachache. Tunakemea na tutakemea uhuni na ukiukwaji wote wa haki kwa maneno na kwa vitendo.ā
Ndio ivo mkuuSure maigizo tupu
Serikali ya CCM ni ya kishetani haswaNdio ivo mkuu
Hahaha hata mimi instincts zangu zinanieleza kabisa kuwa hili ni igizo kubalance mamboš¤£š¤£Huyu hakushikiliwa bali alichukuliwa akapewe maagizo mapya. Simba hang'ati mkia wake hata awe mkali namna gani.
Na shetan mwisho wake mbaya saaanaSerikali ya CCM ni ya kishetani haswa
Tuwashughulikie hawa wapumbavuNa shetan mwisho wake mbaya saaana
Mmechelewa sana kuicheza hii Filamu ya CCM Serikali na ACT. Kwahiyo baada ya kuona EU inakaribia kuipiga Pini Tanzania kwa Suala la Tundu Lissu wa CHADEMA kwa Kuonewa Kwake pamoja na Manyanyaso kwa Chama chake cha CHADEMA mkaona sasa mtengeneze Picha ya kumkamata Zitto Kabwe ili kuonyesha kuwa si tu Lissu pekee na CHADEMA yake wanakamiwa bali ni Watu wa vyama vyote tu.Chama cha ACT Wazalendo kimetoa taarifa kali ya kulaani kile kinachodaiwa kuwa ni uvamizi na kushikiliwa kwa muda kwa Kiongozi wake wa Chama Mstaafu, Zitto Zuberi Kabwe, na maofisa wa Jeshi la Polisi usiku wa tarehe 14 Julai 2025, akiwa katika hoteli mkoani Lindi
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Tanzania Bara, Ester Thomas, tukio hilo lilitokea majira ya saa sita usiku, ambapo polisi kutoka wilaya na mkoa wa Lindi waliwasili katika hoteli aliyofikia Zitto na baadaye kumpeleka katika kituo cha polisi kwa mahojiano ya zaidi ya nusu saa, pasipo kufahamisha mara moja kosa lake
āHatimaye, baada ya majibizano ya muda mrefu, polisi, majira ya saa saba na dakika nane usiku, walieleza na kubainisha kwamba wanamshikilia Kiongozi wa Chama Mstaafu kwa kosa la kutoa kauli za vitisho, kwa mujibu wa kifungu cha 89(2) cha sheria ya makosa ya jinai. Polisi hao walieleza kwamba kauli hizo za vitisho zilitokana na hotuba ya Ndugu Zitto Kabwe aliyoitoa siku ya tarehe 10/07/2025, akiwa kwenye mkutano wa hadhara Tunduru Kaskaziniā, imeeleza taarifa hiyo
Zitto Kabwe ameeleza kuwa atatoa maelezo yote mahakamani na alikataa kueleza zaidi kwa polisi, akisisitiza kuwa hiyo ni haki yake ya kisheria. Aliachwa huru majira ya saa nane usiku bila masharti yoyote
Ikumbukwe kuwa hivi karibuni, Zitto alitoa onyo kali kwa maafisa wa polisi na watendaji wengine wa serikali wanaoshiriki katika kile alichokiita uingizaji wa kura bandia kwenye uchaguzi, akisema chama hicho hakitasita kuchukua hatua hata kama mhusika ni askari wa vyombo vya ulinzi na usalama, onyo ambalo baadhi ya wachambuzi na wafuatiliaji wa masuala ya siasa wamelieleza kuwa ndiyo huenda imesababisha Zitto kuhojiwa Polisi
Akihutubia siku ya Alhamisi Julai 10, 2025 katika Jimbo la Tunduru Kaskazini, wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma Zitto alieleza kuwa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024, ACT Wazalendo ilimkamata afisa wa polisi akiwa amepakia kura bandia kwa lengo la kuzisambaza kwenye kituo cha kupigia kura, akisisitiza kuwa chama hicho hakitavumilia tena majaribio yoyote ya kuvuruga uchaguzi kwa āmbinu chafuā kama hizo
View attachment 3405408
View attachment 3405409
Soma pia: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kuwashughulikia ni kuamua na kusimama katika kuwakataaa tena kwa hadhara yenye umoja mkali saanaTuwashughulikie hawa wapumbavu