Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zitto anataka hela tu , haijalishi zinatoka wapi .Kwa jicho la kawaida sana nakiona hiki hakina maisha marefu. Kina mtaji mkubwa wa wanachama kule Zanzibar lakini kwa siasa anazofanya kiongozi wake mkuu, sioni kabisa maisha marefu ya chama hiki. Anataka kutumia usanii katika kukiendesha chama hawezi kufika mbali.
Huwezi kuwa mstaarabu kwa mtu ambaye si mstaarabu. CCM hawataki ustaarabu wa kuendesha nchi hii, hawapo tayari kabisa kuona mabadiliko ya kimfumo yafanyike. Sasa ACT-Wazalendo kwa Hadaa za Zitto Kabwe wameingia kwenye mtego wa CCM kufanyia marekebisho NEC ambayo kimsingi hata viongozi wa kamati hiyo ni wanaccm. Hivi kuna asiyemjua Prof Mkandara Itikadi yake? Kuna asiyemjua Halafu Rashidi wa ADC ambaye Chama chake ni sawa na UDP ya Cheyo?
Sababu kuu ya ACT-Wazalendo ya kudai marekebisho ya tume huru ya uchaguzi na siyo Katiba mpya eti wanataka tume huru ili wachaguliwe waende bungeni wakiwa wengi wakadai katiba, huu ni unafki wa hali ya juu sana. Yaani ACT hawaoni umuhimu wa kuandika katiba wao wanahangaika maslahi ya kisiasa badala ya mfumo? Hawaoni Shida wanazopata wananchi kupitia mifumo iliyopo ya kiutawala ila wao ni uchaguzi tu?
Kwa sasa watu wanalia majeshi la Polisi kwa sababu ya mfumo, watu wanalia na mahakama zetu kwa sababu ya mfumo, tunalia na Ufisadi kwa sababu ya mfumo, leo hii wenzetu wanaona mfumo unaweza kubadilishwa na NEC?
CCM hawataki ustaarabu lakini wanataka wenzao wawe wastaarabu, demokrasia ina gharama zake. Kama watu waliwahi kupoteza maisha, kama kuna watu waliwahi kupigwa risasi, kama kuna watu waliwahi kutekwa na kupotezwa , yote haya ni kwa sababu ya CCM kungan'ang'ania madaraka. Kwahiyo ni lazima kuwe na msimamo wa CCM kuondoka madarakani kwa nguvu ya umma wapende wasipende. Mtu anapokataa ustaarabu basi lazima nawe usiwe mstaarabu. Hii ni nchi yetu sote hakuna mwenye hati miliki nayo.
Zitto Kabwe hajawahi kushika madaraka makubwa kama aliyonayo ya sasa kama kiongozi mkuu wa chama chake, nafasi yake kwenye kutafuta suluhu serikali ya Mapinduzi Zanzibar anajiona ni nafasi kubwa na ananyenyekewa sana, kumbe hajui kuwa wenzake wanatazama mbali zaidi. Hicho chama kingefika mbali angekuwepo Maalim Seif, Zitto Kabwe si mwanasiasa wa kuaminika ,siyo wa kuachiwa taasisi pekee yake aendeshe. Sina imani kama Maalim Seif angekuwepo angekubali kudai marekebisho ya uchaguzi badala ya katiba mpya, au labda kwakuwa Katiba ya Zanzibar ina ahueni kidogo. Maskini Zitto amesahau kuwa Katiba ni muhimu zaidi kuliko tume.
Tunazungumza humu lakini ni suala la muda tuu. Tunajua suala liingine la ACT-WAZALENDO ni njaa wanataka wapate wabunge waende wakaongeze ruzuku ili waendeshe chama chao, ACT-WAZALENDO hawana shida kabisa na kushika dola.
Mapalala alitimuliwa mapema sanaZito hana uwezo wowote wakuongoza chama hata hapo act wanamtageti tu abugi wamfujuze
Zito ni tapeli wa kisiasa
sasa wewe inakuhusu nini kama sio kuwashwaKwa jicho la kawaida sana nakiona hiki hakina maisha marefu. Kina mtaji mkubwa wa wanachama kule Zanzibar lakini kwa siasa anazofanya kiongozi wake mkuu, sioni kabisa maisha marefu ya chama hiki. Anataka kutumia usanii katika kukiendesha chama hawezi kufika mbali.
Huwezi kuwa mstaarabu kwa mtu ambaye si mstaarabu. CCM hawataki ustaarabu wa kuendesha nchi hii, hawapo tayari kabisa kuona mabadiliko ya kimfumo yafanyike. Sasa ACT-Wazalendo kwa Hadaa za Zitto Kabwe wameingia kwenye mtego wa CCM kufanyia marekebisho NEC ambayo kimsingi hata viongozi wa kamati hiyo ni wanaccm. Hivi kuna asiyemjua Prof Mkandara Itikadi yake? Kuna asiyemjua Halafu Rashidi wa ADC ambaye Chama chake ni sawa na UDP ya Cheyo?
Sababu kuu ya ACT-Wazalendo ya kudai marekebisho ya tume huru ya uchaguzi na siyo Katiba mpya eti wanataka tume huru ili wachaguliwe waende bungeni wakiwa wengi wakadai katiba, huu ni unafki wa hali ya juu sana. Yaani ACT hawaoni umuhimu wa kuandika katiba wao wanahangaika maslahi ya kisiasa badala ya mfumo? Hawaoni Shida wanazopata wananchi kupitia mifumo iliyopo ya kiutawala ila wao ni uchaguzi tu?
Kwa sasa watu wanalia majeshi la Polisi kwa sababu ya mfumo, watu wanalia na mahakama zetu kwa sababu ya mfumo, tunalia na Ufisadi kwa sababu ya mfumo, leo hii wenzetu wanaona mfumo unaweza kubadilishwa na NEC?
CCM hawataki ustaarabu lakini wanataka wenzao wawe wastaarabu, demokrasia ina gharama zake. Kama watu waliwahi kupoteza maisha, kama kuna watu waliwahi kupigwa risasi, kama kuna watu waliwahi kutekwa na kupotezwa , yote haya ni kwa sababu ya CCM kungan'ang'ania madaraka. Kwahiyo ni lazima kuwe na msimamo wa CCM kuondoka madarakani kwa nguvu ya umma wapende wasipende. Mtu anapokataa ustaarabu basi lazima nawe usiwe mstaarabu. Hii ni nchi yetu sote hakuna mwenye hati miliki nayo.
Zitto Kabwe hajawahi kushika madaraka makubwa kama aliyonayo ya sasa kama kiongozi mkuu wa chama chake, nafasi yake kwenye kutafuta suluhu serikali ya Mapinduzi Zanzibar anajiona ni nafasi kubwa na ananyenyekewa sana, kumbe hajui kuwa wenzake wanatazama mbali zaidi. Hicho chama kingefika mbali angekuwepo Maalim Seif, Zitto Kabwe si mwanasiasa wa kuaminika ,siyo wa kuachiwa taasisi pekee yake aendeshe. Sina imani kama Maalim Seif angekuwepo angekubali kudai marekebisho ya uchaguzi badala ya katiba mpya, au labda kwakuwa Katiba ya Zanzibar ina ahueni kidogo. Maskini Zitto amesahau kuwa Katiba ni muhimu zaidi kuliko tume.
Tunazungumza humu lakini ni suala la muda tuu. Tunajua suala liingine la ACT-WAZALENDO ni njaa wanataka wapate wabunge waende wakaongeze ruzuku ili waendeshe chama chao, ACT-WAZALENDO hawana shida kabisa na kushika dola.
umenena vema hawa keyboard warriors ni wakupuuzwaUzuri ni kuwa ACT na CCM zinashirikiana Zanzibar ambako CHADEMA hamna chenu wala lenu.
SaSa CHADEMA si ina nguvu na inakubalika T Bara ingieni barabarani au itisheni migomo ili mwenyekiti atoke mahabusu na KATIBA MPYA ije mwanzo kabla TUME HURU. Kama kweli mnazo nguvu za kisiasa maana nguvu ya kisiasa ni kusikilizwa na watu. CDM hawawezi chochote zaidi ya matusi tu mitandaoni.
Mtawaelewa ACT soon na mtawaheshimu sana ACTzanzibar soon . Siasa yao na CDM ni kama UNIVERSITY na kindergarten.
Kwa jicho la kawaida sana nakiona hiki hakina maisha marefu. Kina mtaji mkubwa wa wanachama kule Zanzibar lakini kwa siasa anazofanya kiongozi wake mkuu, sioni kabisa maisha marefu ya chama hiki. Anataka kutumia usanii katika kukiendesha chama hawezi kufika mbali.
Huwezi kuwa mstaarabu kwa mtu ambaye si mstaarabu. CCM hawataki ustaarabu wa kuendesha nchi hii, hawapo tayari kabisa kuona mabadiliko ya kimfumo yafanyike. Sasa ACT-Wazalendo kwa Hadaa za Zitto Kabwe wameingia kwenye mtego wa CCM kufanyia marekebisho NEC ambayo kimsingi hata viongozi wa kamati hiyo ni wanaccm. Hivi kuna asiyemjua Prof Mkandara Itikadi yake? Kuna asiyemjua Halafu Rashidi wa ADC ambaye Chama chake ni sawa na UDP ya Cheyo?
Sababu kuu ya ACT-Wazalendo ya kudai marekebisho ya tume huru ya uchaguzi na siyo Katiba mpya eti wanataka tume huru ili wachaguliwe waende bungeni wakiwa wengi wakadai katiba, huu ni unafki wa hali ya juu sana. Yaani ACT hawaoni umuhimu wa kuandika katiba wao wanahangaika maslahi ya kisiasa badala ya mfumo? Hawaoni Shida wanazopata wananchi kupitia mifumo iliyopo ya kiutawala ila wao ni uchaguzi tu?
Kwa sasa watu wanalia majeshi la Polisi kwa sababu ya mfumo, watu wanalia na mahakama zetu kwa sababu ya mfumo, tunalia na Ufisadi kwa sababu ya mfumo, leo hii wenzetu wanaona mfumo unaweza kubadilishwa na NEC?
CCM hawataki ustaarabu lakini wanataka wenzao wawe wastaarabu, demokrasia ina gharama zake. Kama watu waliwahi kupoteza maisha, kama kuna watu waliwahi kupigwa risasi, kama kuna watu waliwahi kutekwa na kupotezwa , yote haya ni kwa sababu ya CCM kungan'ang'ania madaraka. Kwahiyo ni lazima kuwe na msimamo wa CCM kuondoka madarakani kwa nguvu ya umma wapende wasipende. Mtu anapokataa ustaarabu basi lazima nawe usiwe mstaarabu. Hii ni nchi yetu sote hakuna mwenye hati miliki nayo.
Zitto Kabwe hajawahi kushika madaraka makubwa kama aliyonayo ya sasa kama kiongozi mkuu wa chama chake, nafasi yake kwenye kutafuta suluhu serikali ya Mapinduzi Zanzibar anajiona ni nafasi kubwa na ananyenyekewa sana, kumbe hajui kuwa wenzake wanatazama mbali zaidi. Hicho chama kingefika mbali angekuwepo Maalim Seif, Zitto Kabwe si mwanasiasa wa kuaminika ,siyo wa kuachiwa taasisi pekee yake aendeshe. Sina imani kama Maalim Seif angekuwepo angekubali kudai marekebisho ya uchaguzi badala ya katiba mpya, au labda kwakuwa Katiba ya Zanzibar ina ahueni kidogo. Maskini Zitto amesahau kuwa Katiba ni muhimu zaidi kuliko tume.
Tunazungumza humu lakini ni suala la muda tuu. Tunajua suala liingine la ACT-WAZALENDO ni njaa wanataka wapate wabunge waende wakaongeze ruzuku ili waendeshe chama chao, ACT-WAZALENDO hawana shida kabisa na kushika dola.
Kwa jicho la kawaida sana nakiona hiki hakina maisha marefu. Kina mtaji mkubwa wa wanachama kule Zanzibar lakini kwa siasa anazofanya kiongozi wake mkuu, sioni kabisa maisha marefu ya chama hiki. Anataka kutumia usanii katika kukiendesha chama hawezi kufika mbali.
Huwezi kuwa mstaarabu kwa mtu ambaye si mstaarabu. CCM hawataki ustaarabu wa kuendesha nchi hii, hawapo tayari kabisa kuona mabadiliko ya kimfumo yafanyike. Sasa ACT-Wazalendo kwa Hadaa za Zitto Kabwe wameingia kwenye mtego wa CCM kufanyia marekebisho NEC ambayo kimsingi hata viongozi wa kamati hiyo ni wanaccm. Hivi kuna asiyemjua Prof Mkandara Itikadi yake? Kuna asiyemjua Halafu Rashidi wa ADC ambaye Chama chake ni sawa na UDP ya Cheyo?
Sababu kuu ya ACT-Wazalendo ya kudai marekebisho ya tume huru ya uchaguzi na siyo Katiba mpya eti wanataka tume huru ili wachaguliwe waende bungeni wakiwa wengi wakadai katiba, huu ni unafki wa hali ya juu sana. Yaani ACT hawaoni umuhimu wa kuandika katiba wao wanahangaika maslahi ya kisiasa badala ya mfumo? Hawaoni Shida wanazopata wananchi kupitia mifumo iliyopo ya kiutawala ila wao ni uchaguzi tu?
Kwa sasa watu wanalia majeshi la Polisi kwa sababu ya mfumo, watu wanalia na mahakama zetu kwa sababu ya mfumo, tunalia na Ufisadi kwa sababu ya mfumo, leo hii wenzetu wanaona mfumo unaweza kubadilishwa na NEC?
CCM hawataki ustaarabu lakini wanataka wenzao wawe wastaarabu, demokrasia ina gharama zake. Kama watu waliwahi kupoteza maisha, kama kuna watu waliwahi kupigwa risasi, kama kuna watu waliwahi kutekwa na kupotezwa , yote haya ni kwa sababu ya CCM kungan'ang'ania madaraka. Kwahiyo ni lazima kuwe na msimamo wa CCM kuondoka madarakani kwa nguvu ya umma wapende wasipende. Mtu anapokataa ustaarabu basi lazima nawe usiwe mstaarabu. Hii ni nchi yetu sote hakuna mwenye hati miliki nayo.
Zitto Kabwe hajawahi kushika madaraka makubwa kama aliyonayo ya sasa kama kiongozi mkuu wa chama chake, nafasi yake kwenye kutafuta suluhu serikali ya Mapinduzi Zanzibar anajiona ni nafasi kubwa na ananyenyekewa sana, kumbe hajui kuwa wenzake wanatazama mbali zaidi. Hicho chama kingefika mbali angekuwepo Maalim Seif, Zitto Kabwe si mwanasiasa wa kuaminika ,siyo wa kuachiwa taasisi pekee yake aendeshe. Sina imani kama Maalim Seif angekuwepo angekubali kudai marekebisho ya uchaguzi badala ya katiba mpya, au labda kwakuwa Katiba ya Zanzibar ina ahueni kidogo. Maskini Zitto amesahau kuwa Katiba ni muhimu zaidi kuliko tume.
Tunazungumza humu lakini ni suala la muda tuu. Tunajua suala liingine la ACT-WAZALENDO ni njaa wanataka wapate wabunge waende wakaongeze ruzuku ili waendeshe chama chao, ACT-WAZALENDO hawana shida kabisa na kushika dola.
Sidhani hapo hatuwezi kufananaSio lazima vyama vishike njia moja kuelekea Katika kupata katiba mpya, na sio lazima katiba iundwe upya kwa wakati huu bali inaweza kufanyiwa marekebisho muhimu tu.
Zitto anataka hela tu , haijalishi zinatoka wapi .
Atafukuzwa na nani?Zito hana uwezo wowote wakuongoza chama hata hapo act wanamtageti tu abugi wamfujuze
Zito ni tapeli wa kisiasa
Unaposema kwa gharama yoyote wewe uliishaingia gharama gani?
Je uliwahi kuvunjwa hata mguu na ukaijua gharama ya vurugu?
Au unajua tu kuwapa wenzio mihemko kisha unasepa kwa style ya Lissu na Lema.
Mkuu jalibu kutumia kichwa chako kufikili vizuriKwa nguvu waliyonayo Zanzibar, ni ngumu sana hiki chama kufa. Ila ZItto akijikanyaga na kugomabana na viongozi wa Zanzibar kama akina Ismail Jussa na Nassor Mazurui atajikanyaga na kukiua chama.
Licha ya maelezo mareeefu wewe wala huna uelewa sahihi kuhusu katiba. ..huelewi katiba ni nini na sheria ni nini.😂Kwa jicho la kawaida sana nakiona hiki hakina maisha marefu. Kina mtaji mkubwa wa wanachama kule Zanzibar lakini kwa siasa anazofanya kiongozi wake mkuu, sioni kabisa maisha marefu ya chama hiki. Anataka kutumia usanii katika kukiendesha chama hawezi kufika mbali.
Huwezi kuwa mstaarabu kwa mtu ambaye si mstaarabu. CCM hawataki ustaarabu wa kuendesha nchi hii, hawapo tayari kabisa kuona mabadiliko ya kimfumo yafanyike. Sasa ACT-Wazalendo kwa Hadaa za Zitto Kabwe wameingia kwenye mtego wa CCM kufanyia marekebisho NEC ambayo kimsingi hata viongozi wa kamati hiyo ni wanaccm. Hivi kuna asiyemjua Prof Mkandara Itikadi yake? Kuna asiyemjua Halafu Rashidi wa ADC ambaye Chama chake ni sawa na UDP ya Cheyo?
Sababu kuu ya ACT-Wazalendo ya kudai marekebisho ya tume huru ya uchaguzi na siyo Katiba mpya eti wanataka tume huru ili wachaguliwe waende bungeni wakiwa wengi wakadai katiba, huu ni unafki wa hali ya juu sana. Yaani ACT hawaoni umuhimu wa kuandika katiba wao wanahangaika maslahi ya kisiasa badala ya mfumo? Hawaoni Shida wanazopata wananchi kupitia mifumo iliyopo ya kiutawala ila wao ni uchaguzi tu?
Kwa sasa watu wanalia majeshi la Polisi kwa sababu ya mfumo, watu wanalia na mahakama zetu kwa sababu ya mfumo, tunalia na Ufisadi kwa sababu ya mfumo, leo hii wenzetu wanaona mfumo unaweza kubadilishwa na NEC?
CCM hawataki ustaarabu lakini wanataka wenzao wawe wastaarabu, demokrasia ina gharama zake. Kama watu waliwahi kupoteza maisha, kama kuna watu waliwahi kupigwa risasi, kama kuna watu waliwahi kutekwa na kupotezwa , yote haya ni kwa sababu ya CCM kungan'ang'ania madaraka. Kwahiyo ni lazima kuwe na msimamo wa CCM kuondoka madarakani kwa nguvu ya umma wapende wasipende. Mtu anapokataa ustaarabu basi lazima nawe usiwe mstaarabu. Hii ni nchi yetu sote hakuna mwenye hati miliki nayo.
Zitto Kabwe hajawahi kushika madaraka makubwa kama aliyonayo ya sasa kama kiongozi mkuu wa chama chake, nafasi yake kwenye kutafuta suluhu serikali ya Mapinduzi Zanzibar anajiona ni nafasi kubwa na ananyenyekewa sana, kumbe hajui kuwa wenzake wanatazama mbali zaidi. Hicho chama kingefika mbali angekuwepo Maalim Seif, Zitto Kabwe si mwanasiasa wa kuaminika ,siyo wa kuachiwa taasisi pekee yake aendeshe. Sina imani kama Maalim Seif angekuwepo angekubali kudai marekebisho ya uchaguzi badala ya katiba mpya, au labda kwakuwa Katiba ya Zanzibar ina ahueni kidogo. Maskini Zitto amesahau kuwa Katiba ni muhimu zaidi kuliko tume.
Tunazungumza humu lakini ni suala la muda tuu. Tunajua suala liingine la ACT-WAZALENDO ni njaa wanataka wapate wabunge waende wakaongeze ruzuku ili waendeshe chama chao, ACT-WAZALENDO hawana shida kabisa na kushika dola.
Akigombana nao wanao uwezo wa kumfukuza uanachama, kwa hiyo si rahisi akakiua chama. Kumbuka kuwa pamoja na kwamba alikianzisha yeye na pia ni kiongozi mkuu wa chama, bado pia anazo haki zake za kawaida kama zile za wanachama wengine wa kawaida na mojawapo ya haki hizo ni kufukuzwa uanachamaKwa nguvu waliyonayo Zanzibar, ni ngumu sana hiki chama kufa. Ila ZItto akijikanyaga na kugomabana na viongozi wa Zanzibar kama akina Ismail Jussa na Nassor Mazurui atajikanyaga na kukiua chama.
Bora!Zitto lengo lake NECCCM impe viti vichache vya ubunge aongoze kamati. ACT haina tofauti na TLP kwa sasa
CUF ilikufa vipi kwani tuanzie hapa
Anything and everything is possible