Mbona CUF ilikuwa na nguvu Zanzibar ila sasa ni mahututi?
Mkuu jalibu kutumia kichwa chako kufikili vizuri
ACT haima nguvu Wala wanachama,Bali inawafuasi wa Maalimu,hao wafuasi wakiamua kujiunga/ kuanzisha chama kingine watabaki na wanachama gani?
Umesema ukweli mkuu. Chadema walisema msaliti akafukuzwa ila mpaka leo bado wanamuandama wakati alianzisha chama chake."One destination but several ways to reach it"
Tuheshimu fikra, maoni na mtazamo wa wengine, sio kila inachofikiri CHADEMA ndicho kifuatwe na Vyama vingine, no compulsion in the matters of political perspectives as Chadema is not a political yardstick and comparator party.
Akigombana nao ni ngumu sana yeye kufukuzika, anaweza kupata support kwa CCM wakammilikisha chama kama walivyofanya kwa Lipumba.Akigombana nao wanao uwezo wa kumfukuza uanachama, kwa hiyo si rahisi akakiua chama. Kumbuka kuwa pamoja na kwamba alikianzisha yeye na pia ni kiongozi mkuu wa chama, bado pia anazo haki zake za kawaida kama zile za wanachama wengine wa kawaida na mojawapo ya haki hizo ni kufukuzwa uanachama
Na hao ndiyo wanaokibeba chama si wengine so zitto anawasikiliza na hawezi kuwatenga hata robo, laiti akiwatenga na kujifanya ndiye mzee wachama hawa jamaa wa Unguja wanasepa mapema sana na kwenye maskani zote wanafuta kila takataka ya zitto.
Na actAtafukuzwa na nani?
Tusubiri, tuone itakuaje.Na act
Siku zitto akijichanganya kumvuruga Jussa basa act itakuwa kama cuf kwasasa ilivyo ZanzibarNi baada ya Maalim Seif na kundi lake la akina Ismail Jussa kuiacha CUF.
Hata ACT as long as Zitto ana support ya Ismail Jussa na wenziwe chama hakiwezi kuja chini, Ila siku Zitto akiwachafua hao jamaa ACT nayo itazikwa kama ilivyozikwa CUF