Zitto ataka wanaoikosoa ACT-Wazalendo waanzishe chama chao

Hivi mlitaka Chama kiishije?

Zitto pale katengeneza pesa ndefu sana.
 
Kwanza Zitto kamjibu kiungwana sana huyo Mwananchi anayetumia maneno kama "Mzee Mdee" kutambulisha mwanamke.

Vijana wanasema,"Kama nazingua, fanya wewe".
 
Wewe unaona uvivu gani kuanzisha chama chako? Acha upuuzi.
 
Kuna nyumbu wachache, kazi yao ni kuonyesha kuwa wako frustrated kwenye mitandao tu(wanafiki). Wakati ambapo vyama vya upinzani vilihitaji msaada kutoka kwa wananchi hakuna aliejitokeza, halafu Sasa hivi ndio yanajifanya kuwa na uchingu Sana na Taifa.

👉Sijaona kosa la Zitto Kabwe hapo, kama unajisikia uchungu Sana, na unaona kabisa kuwa Zitto ni msaliti kuliko kupiga kelele mitandaoni ni vyema ukaanzishe chama chako.
 
Ona ulivyo fala wa kisiasa, yaani mtu akose hamu ya kula kwa kelele za wapuuzi kama wewe, unajua anaishi vipi? Mijinga kama wewe unakuta inashabikia Cdm hata kula tu shida alafu inabaki kuwaza maisha ya Zitto.
 
Pamoja na kwamba huwa simpendi Zitto, naunga mkono majibu aliyotoa. Ninyi mnaojifanya wajuaji mitandaoni anzisheni chama chenu ili mkiendeshe mnavyotaka sio kulazimisha wengine wafanye mnavyotaka. Zitto alikuwa Chadema, akafukuzwa akaanzisha chama chake ACT Wazalendo. Nanyi mmeshushuliwa. Anzsheni sasa chama chenu.
 
Ona ulivyo fala wa kisiasa, yaani mtu akose hamu ya kula kwa kelele za wapuuzi kama wewe, unajua anaishi vipi? Mijinga kama wewe unakuta inashabikia Cdm hata kula tu shida alafu inabaki kuwaza maisha ya Zitto.
Wacha jazba, wewe kiazi unalamba visigino mpaka walevi, sijui umelogwa na nani.
 
Jibu la Zitto ndio jibu sahihi kwa kuwajibu wapinzani uchwara. Hongera Zitto kwa ukomavu wa kisiasa.
 
Inasikitisha nini? Zitto ni kiongozi makini na anajua kabisa kura hazikuibiwa, wewe kapuku unang'ang'ania kwamba kura ziliibiwa una hakika? Anzisha chama chako kama unaona ni rahisi tu.
 
Achaneni nao hao wapumbavu..
 
Ukweli kilichofanywa na Zito na Maalim Seif, ni usaliti mkubwa, ubinafsi, hadaa, unafiki, kejeli na uharamia mkubwa kwa wananchi wa Zanzibar.

Waliwahadaa wananchi, wakawaongoza katika mapambano yaliyowaletea mateso na hata vifo, kisha wakaungana na wauaji na watesaji dhidi ya Wazanzibari waliokuwa wakiamini kuna sababu ya msingi ya wao kupambana na CCM.

Zito, kama dhamira yake ni kupewa tu tuvyeo tusitokuwa na kichwa wala miguu, si wangeunga tu mkono juhudi? Wangefanya hivyo, hakuna mzanzibari ambaye angeuawa au kuteswa kama ilivyotokea.

Tungekuwa na watu kama akina Zito, hakika Afrika hata uhuru tusingepata. Akina Nyerere, Jomo Kenyata, Mandela, walipewa offer kwenye serikali za kikoloni lakini walikataa. Jaramogi Odinga aliachishwa kazi, alifukuzwa kwenye nyumba ya serikali, akawa anaishi kwenye kachumba kadogo ambako pia alikafanya kuwa ofisi ya KANU, akilalia kirago na siyo godoro, lakini aliendelea bila ya kujali magumu aliyokuwa akipitia, kwa sababu aliamini kuna kitu cha msingi anachopigania. Sasa hawa akina Zito, katika mapambano yote, hakuna hata walicho-achieve, wamekwishanyosha mikono na kuishia kushukuru kwa kacheo bandia. Inasikitisha sana. Wanasiasa wa namna hii, hawawezi kulipeleka Taifa hili mahali popote.

Shame to you Zito and your colleagues.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ndio kauli ya kiongozi thabiti
 
Siasa ni michongo, sasa wajinga huwa wanashupaa sana pale wanasiasa wakiwa wanapata walichokusudia. ZZK yupo sahihi kabisa.
Masikin tu hao... Hawawezi ishi nje ya siasa.
 
Achana na Zitto, kaisha kosa maana katika jamii
 
Siasa ni michongo, sasa wajinga huwa wanashupaa sana pale wanasiasa wakiwa wanapata walichokusudia. ZZK yupo sahihi kabisa.
Yuko sahihi kabisa tena sana. Jitu linashupalia wala halijui hata gharama za kuendesha chama. Anzisha chama kama ni rahisi.
 
Zitto yupo sahihi, tunafatiliana Sana wakati hapa duniani ni about ugali na mboga mambo ya Haki, Usawa na Amani ni about God's power... Ni upumbavu wa hali ya juu kumbebesha Zitto zigo la kuwaletea Haki , Usawa na Amani ...jumlisha myth story za maisha bora....wakati juzi Kati katika last stand ya final battle aliwaambia tuingie road lakini wote wakaingia mitini, je yeye abaki bila ugali?
 
Tunawaona waCONGO na Wazenji kama mdebwedo, ila ni watu mafaita sana.

Wadanganyanyika utafikiri wanaishi kwenye barafu, wana hali tete lakini kila kitu kizuri wanapenda kuletewa wamekaa.

Na hii weakness CCM wanaijua ndio maana wanatumia vitisho tu na risasi.

Na ukijifanya kuwatetea wabongo, yakikuta utajikuta uko mwenyewe.

Ndio maana Sasa hivi watu kibao wameamua kula tu na Watawala: Wasanii, Wanasiasa, media, viongozi wa dini.

Kila mtu akiisoma namba kikamilifu na akajua mbaya wake ni nani, wala hatahitaji eti Zitto au Maalim Seif au Mbowe wampiganie haki zake.

Atakaa mwenyewe front kupambana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…