DuhDuh...
Hata Mimi naona haya mambo kama yanafanyika kwa udini.Zitto kabwe ameibuka na kauli kuhusu Usafirishaji wa wanyama Pori kwenda nje ya nchi uliositishwa leo na Waziri wa Maliasili na utalii akisema umegubikwa na udini ndani yake.
Kwamba waliokosoa wanaichukia Serikali kwa sababu inaongozwa na Rais Samia ambaye ni Mwislam, kwahiyo anaona watu kuhoji wamekosa uvumilivu wa dini.
Zitto ni mdini sana hafai kuongoza nchi hii hata siku moja.
Zitto kabwe
View attachment 2251667
Ni Zitto mwenyewe labda aseme amehackiwa na yeyeIyo ni propaganda hata kama zitto simwelewi hawezi kusema uchafu huo acheni kusingizia watu
Zito Huwa ana akili kubwa mno lkn sipendi kuamini huu utopolo kausema ni mtu mwerevu anayechagua aseme nini unless amerukwa akili
Kasema ni yeye, Zitto kabwe ni mdini muno.Zito Huwa ana akili kubwa mno lkn sipendi kuamini huu utopolo kausema ni mtu mwerevu anayechagua aseme nini unless amerukwa akili
Ndo hivyo kashaitoa, tena kaandika twitter dunia yote ijue.Ni aibu sana kauli kama hiyo kutolewa na msomi.
Ni zitto mwenyewe labda aseme amehackiwa na yeye
Siamini kama yeye kaandikaHuyu choko mi mchumia tumbo kitambo anaenda na upepo